-
Uturuki yaafiki Sweden na Finland zijiunge na NATO na uwezekano wa vita vya dunia
Jul 01, 2022 01:02Hatimaye, baada ya mazungumzo mengi, kumetiwa saini mapatano ya pande tatu baina ya Ankara, Stockholm na Helsinki kuhusu Finland na Sweden kujiounga na NATO. Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amethiitisha kuwa Uturuki imeafiki Sweden na Norway zijiunge na NATO.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu
Jun 28, 2022 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndio adui nambari moja wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Safari ya Uturuki; Urafiki wa kimbinu kati ya Erdogan na Bin Salman
Jun 25, 2022 03:04Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefanya safari mjini Ankara na kukaribishwa rasmi na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
-
Khatibzadeh: Uturuki isiyanyamazie madai ya kufarakanisha ya Wazayuni
Jun 24, 2022 08:07Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema, inatarajiwa kuwa Uturuki haitanyamazia kimya madai ya kufarakanisha yaliyotolewa na wazayuni.
-
Uturuki kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika masuala ya usalama
Jun 24, 2022 07:47Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema, baada ya kuongeza kiwango cha uwakilishi wa kidiplomasia, nchi yake itaanzisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Malengo tofauti ya safari ya kieneo ya Bin Salman
Jun 22, 2022 09:45Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanza safari yake ya kieneo kwa kufanya ziara huko Misri na kuzitembelea pia nchi mbili za Jordan na Uturuki.
-
Faisal al-Miqdad: Erdoğan anataka kusambaza magaidi kaskazini ya Syria
Jun 17, 2022 03:43Waziri wa mambo ya nje wa Syria amesema, lengo la rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki la kuanzisha ukanda wa usalama kaskazini ya Syria ni kuweka magaidi katika eneo hilo.
-
Jihadul-Islamu ya Palestina yalaani vikali safari ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Israel
May 27, 2022 02:33Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) na kukutana na viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Uturuki yazidi kustawisha uhusiano na Israel, waziri wake wa mambo ya nje awasili Tel Aviv
May 25, 2022 10:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amewasili uwanja wa ndege wa Ben Gurion mjini Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Uturuki yaendeleza kampeni ya kutia nguvuni wahajiri
May 09, 2022 02:21Serikali ya Uturuki imewatia nguvuni wahajiri wengine 232 katika mji wa Istanbul ukiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kamatakamata dhidi ya wahamiaji.