Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuki yaendeleza kampeni ya kutia nguvuni wahajiri

    Uturuki yaendeleza kampeni ya kutia nguvuni wahajiri

    May 08, 2022 21:51

    Serikali ya Uturuki imewatia nguvuni wahajiri wengine 232 katika mji wa Istanbul ukiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kamatakamata dhidi ya wahamiaji.

  • Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi

    Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi

    Apr 08, 2022 21:54

    Huku mzozo wa kiuchumi wa serikali ya Ankara na changamoto za kifedha zikizidi kuongezeka, matatizo ya maisha ya watu wa Uturuki hatimaye yameipelekea serikali ya Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena kushirikiana na utawala haramu wa Israel, Marekani, Misri na tawala nyingine vibaraka za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.

  • Uturuki yatangaza kusimamisha kesi ya Wasaudia 'waliomuua' Khashoggi

    Uturuki yatangaza kusimamisha kesi ya Wasaudia 'waliomuua' Khashoggi

    Apr 07, 2022 22:17

    Mahakama moja nchini Uturuki imesimamisha kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.

  • Uturuki yalegeza kamba, yataka kufungwa faili la mauaji ya Khashoggi

    Uturuki yalegeza kamba, yataka kufungwa faili la mauaji ya Khashoggi

    Mar 31, 2022 22:56

    Mwendesha Mashitaka wa Uturuki ameiomba mahakama ya nchi hiyo isimamishe kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.

  • Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq

    Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq

    Mar 28, 2022 20:55

    Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.

  • Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Mar 12, 2022 09:54

    Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.

  • Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel

    Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel

    Mar 10, 2022 00:40

    Wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga na kulaani safari ya Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio

    Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio

    Mar 07, 2022 08:40

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Iraq ya al Nujaba amesema kuwa harakati za Uturuki huko Iraq ni tishio; na kwamba iwapo nchi hiyo haitaacha chokochoko zake hizo basi Wairaki wataingia katika hali ya kijeshi.

  • Kumairishwa ushirikiano wa kiusalama na kiintelijinsia kati ya Uturuki na Israel

    Kumairishwa ushirikiano wa kiusalama na kiintelijinsia kati ya Uturuki na Israel

    Feb 17, 2022 23:14

    Mgogoro wa kiuchumi na matatizo ya kifedha yanayoikabili Uturuki yameendelea kugonga vichwa vya habari katika magazeti ya nchi hiyo.

  • Erdogan: Rais wa Israel ataitembelea Uturuki mwezi ujao

    Erdogan: Rais wa Israel ataitembelea Uturuki mwezi ujao

    Feb 03, 2022 09:07

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog ataitembelea nchi hiyo mwezi ujao wa Machi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS