-
Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi
Feb 28, 2020 04:24Vyombo vya habari katika eneo vimeripoti kuwa askari wasiopungua 33 wa jeshi la Uturuki wameangamizwa katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib
Feb 27, 2020 21:47Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria
Feb 25, 2020 07:06Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa Idlib umepokewa kwa hisia kali, si na Uturuki pekee na uvamizi wake wa kijeshi huko Syria, lakini pia Marekani nayo ambayo inaongoza muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa eti kupambana na ugaidi nchini humo, imeitaka Russia ifanye mazungumzo na magaidi hao.
-
Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria
Feb 25, 2020 04:30Rais wa Uturuki amedai kwamba nia ya nchi yake ni kurejesha utulivu na uthabiti katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Madai mapya ya Uturuki ya kupokea mfumo wa makombora ya Patriot kutoka Marekani
Feb 22, 2020 21:44Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amedai kuwa karubuni hivi Marekani itaikabidhi Uturuki ngao ya makombora ya Patriot licha ya Marekani kukwamisha suala hilo.
-
Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya
Feb 17, 2020 22:09Serikali ya Russia imetoa radiamali dhidi ya matamshi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki aliyesema kuwa, Russia inaingilia vita nchini Libya na kueleza kuwa, matamshi hayo hayana ukweli wowote.
-
Tuhuma mpya za Uturuki dhidi ya Imarati
Feb 17, 2020 22:08Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki Suleyman Soylu ameituhumu serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati au UAE) kuwa inahusika katika kuchochea fitina ndani ya nchi yake.
-
Viongozi wa Uturuki waendelea kutoa kauli za vitisho dhidi ya Syria kuhusiana na Idlib
Feb 15, 2020 10:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametoa indhari ya kitakachotokea endapo mazungumzo ya nchi hiyo na Russia kuhusu kadhia ya Idlib hayatokuwa na tija.
-
Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya Syria
Feb 13, 2020 03:54Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.
-
Uturuki yaendelea kujizatiti kijeshi kinyume cha sheria kaskazini mwa Syria
Feb 09, 2020 23:38Jeshi la Uturuki limeendelea kujizatiti kaskazini mwa Syria baada ya kuingia msafara mpya wa kijeshi wa nchi hiyo katika mkoa wa Idlib.