Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia

    Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia

    Oct 04, 2019 05:33

    Mwenendo wa Marekani wa kuchukua hatua za upande mmoja na nchi hiyo kupanua ubeberu wake katika kipindi cha Rais Donald Trump, umeshika kasi zaidi na sasa umechukua sura mpya.

  • Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina

    Radiamali ya Uturuki dhidi ya matamshi ya Netanyahu kuhusiana na Palestina

    Sep 17, 2019 06:02

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki amesema kuwa, matamshi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuhusiana na kutaka kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi nyingine zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ni ya kijeuri na kifidhuli.

  • Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi

    Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi

    Sep 08, 2019 20:02

    Serikali ya Syria imelaani hatua ya majeshi ya Marekani na Uturuki ya kupiga doria ya pamoja katika eneo liliilopewa jina la "ukanda wa amani" huko mashariki mwa Furati kaskazini mwa Syria na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawa ya Syriia.

  • Hasara ya yuro bilioni tatu itakayopata Uturuki kutokana na Uingereza kutekeleza Brexit bila kufikia mwafaka na EU

    Hasara ya yuro bilioni tatu itakayopata Uturuki kutokana na Uingereza kutekeleza Brexit bila kufikia mwafaka na EU

    Sep 05, 2019 07:22

    Waziri wa Biashara wa Uturuki ametangaza kuwa, nchi yake itapata hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu katika biashara zake na Uingereza endapo London itaamua kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya bila kufikia mwafaka na umoja huo.

  • Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia

    Sisitizo la Rais Erdogan wa Uturuki la kununua ndege za kivita za Russia

    Sep 01, 2019 23:35

    Kufuatia hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia, wakuu wa nchi hiyo sasa wameazimia kununa ndege za kisasa za kivita za Russia za Sukhoi-35 na Sukhoi-57.

  • Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib

    Jeshi la Syria laingia Khan Sheikhoun, katika awamu muhimu ya ukombozi wa Idlib

    Aug 20, 2019 02:26

    Jeshi la Syria usiku wa kiamkia tarehe 18 Agosti liliingia katika eneo la Khan Sheikhoun huko kusini mwa mkoa wa Idlib.

  • Syria yapinga makubaliano ya Marekani na Uturuki kuhusu eneo la kaskazini mwa nchi hiyo

    Syria yapinga makubaliano ya Marekani na Uturuki kuhusu eneo la kaskazini mwa nchi hiyo

    Aug 08, 2019 07:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa maalumu na kusisitiza kuwa, inapinga makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Uturuki ya kutenga eneo ati litakaloitwa 'eneo la usalama' kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya

    Wanamgambo wa Haftar watungua droni ya Uturuki huko Libya

    Jul 21, 2019 22:03

    Duru zenye mfungamano na wanamgambo wanaojiita jeshi la kitaifa la Libya wanaoongozwa na kamanda Khalifa Haftar zimeripoti kuwa wanamgambo hao wametungua droni ya Uturuki katika anga ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Trump: Kwa sasa hatuna mapango wa kuiwekea vikwazo Uturuki

    Trump: Kwa sasa hatuna mapango wa kuiwekea vikwazo Uturuki

    Jul 19, 2019 22:01

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, kwa sasa serikkali ya Washington haina mpango wa kuiwekea vikwazo Uturuki.

  • Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki

    Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki

    Jul 19, 2019 01:50

    Hatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS