Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuki yawafunga vifungo vya maisha watu 104 kwa tuhuma za kuhusika na mapindizi yaliyofeli

    Uturuki yawafunga vifungo vya maisha watu 104 kwa tuhuma za kuhusika na mapindizi yaliyofeli

    May 21, 2018 23:18

    Mahakama nchini Uturuki imewahukumu watu 104 vifungo vya maisha katika kadhia ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli mwaka 2016.

  • Mazungumzo ya Marais wa Iran na Uturuki; kulaaniwa mwenendo wa kigaidi wa Israel

    Mazungumzo ya Marais wa Iran na Uturuki; kulaaniwa mwenendo wa kigaidi wa Israel

    May 17, 2018 07:02

    Rais Hassan Rouhani amesema, mauaji ya wananchi madhulumu wa Palestina yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kumbukumbu ya mwaka wa 70 tangu kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina ni maafa makubwa na yenye athari.

  • Uturuki na Afrika Kusini zawaita nyumbani mabalozi wao wa Israel kulalamikia jinai dhidi ya Wapalestina

    Uturuki na Afrika Kusini zawaita nyumbani mabalozi wao wa Israel kulalamikia jinai dhidi ya Wapalestina

    May 15, 2018 03:27

    Uturuki imewaita nyumbani kwa mashauriano mabalozi wake walioko Israel na Marekani baada ya rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdogan kulaani vikali jinai ya umwagaji mkubwa wa damu na mauaji ya halaiki ya Wapalestina yaliyofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel hapo jana kwa uungaji mkono wa Marekani.

  • Uturuki: Kujiondoa Marekani JCPOA, kutageuka kuwa fursa ya kibiashara kati yetu na Iran

    Uturuki: Kujiondoa Marekani JCPOA, kutageuka kuwa fursa ya kibiashara kati yetu na Iran

    May 12, 2018 09:35

    Waziri wa Uchumi wa Uturuki amesema kuwa, kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA, kitageuka na kuwa fursa nzuri ya kibiashara kati ya Tehran na Ankara, licha ya vitisho vya vikwazo vya Washington.

  • Trump aendelea kukosolewa duniani, Uturuki yasema, si mbali US itashuhudia madhara ya kujiondoa JCPOA

    Trump aendelea kukosolewa duniani, Uturuki yasema, si mbali US itashuhudia madhara ya kujiondoa JCPOA

    May 10, 2018 01:50

    Serikali ya Uturuki kupitia Naibu Waziri Mkuu na Msemaji wa Serikali ya nchi hiyo, Bekir Bozdag, imekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump ya kuiondoa nchi yake katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA na kusisitiza kwamba si mbali Washington itashuhudia matokeo mabaya ya hatua yake hiyo.

  • Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo

    Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo

    May 08, 2018 22:27

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.

  • Madai ya Rais Erdoğan wa Uturuki juu ya kufanikiwa jeshi lake katika operesheni ya Afrin, Syria

    Madai ya Rais Erdoğan wa Uturuki juu ya kufanikiwa jeshi lake katika operesheni ya Afrin, Syria

    May 07, 2018 21:49

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuwaua magaidi wengi katika operesheni zake eneo la Afrin, kaskazini mwa Syria.

  • Zarif:  Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Zarif: Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Apr 28, 2018 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Mchakato wa Amani wa Astana hivi sasa ni harakati pekee ambayo kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa na wengine inaweza kupelekea kupatikana amani adilifu na endelevu nchini Syria.

  • Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Apr 28, 2018 11:46

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wametoa tamko la pamoja mwishoni mwa kikao chao cha mjini Moscow, Russia na kutilia mkazo wajibu wa kulindwa ardhi nzima ya Syria na haki ya kujitawala na kujiamulia lenyewe mambo yake taifa hilo la Kiarabu.

  • Trump: Mimi ni jasusi zaidi ya gaidi wa US anayezuiliwa Uturuki

    Trump: Mimi ni jasusi zaidi ya gaidi wa US anayezuiliwa Uturuki

    Apr 18, 2018 03:12

    Rais Donald Trump amejitokeza na kumkingia kifua Padri mmoja raia wa Marekani aliyepandishwa kizimbani nchini Uturuki hivi karibuni kwa tuhuma za kujihusisha na harakati za kigaidi ndani ya taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS