-
Muwahhabi aliyebomoa turathi za Kiislamu Mali afungwa miaka tisa jela
Sep 28, 2016 02:39Muwahhabi mwenye misimamo mikali, Ahmed Al-Faqi Al-Mahdi amepatikana na hatia ya uhalifu wa kivita na kuhukumiwa miaka 9 jela katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 27, 2016 14:08Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mamufti wa Kisaudi wapatwa na kihoro kwa kufutwa Uwahabi katika madhehebu ya Ahlu-Sunnah
Sep 06, 2016 04:00Kushiriki kwa wingi maulamaa wakubwa wa Kiislamu wa Misri katika kongamano la maulamaa wakubwa wa Kisuni lililofanyika Grozny mji mkuu wa Jamhuri ya Chechneya nchini Russia na hatua ya washiriki kujibari na tapo bandia la Uwahabi na Usalafi kumewatia kiwewe mno mamufti na mashekhe wa Kiwahabi.
-
Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu
Sep 05, 2016 07:34Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Iran amesema hii leo Uwahabi una wafuasi wanaotenda jinai na wasio na huruma hata kidogo na hivyo ni hatari kubwa zaidi kwa Uislamu na ubinadamu.