Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona

    Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona

    Apr 14, 2020 02:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Venezuela na kusema ubeberu wa Marekani ni hatari zaidi kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona. Rais wa Iran ameongeza kuwa kujitakia makuu na kutumia mabavu watawala wa Marekani ni mambo ambayo yanayashinikiza mataifa yanayojitegemea na yanayotaka kuwa na uhuru kamili.

  • Maduro aeleza matarajio yake ya kuboreka hali ya soko la mafuta duniani

    Maduro aeleza matarajio yake ya kuboreka hali ya soko la mafuta duniani

    Apr 12, 2020 07:49

    Rais wa Venezuela amesema kuwa anataraji kuwa makubaliano yaliyofikiwa na nchi wanachama wa Opec Plus yataandaa njia ya kuboreka bei ya mafuta duniani.

  • Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro

    Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro

    Mar 27, 2020 08:01

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali na kutaja kama kichekesho hatua ya Marekani ya eti kumfungulia mashitaka ya ulanguzi wa mihadarati, ambapo amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa mtu mbaguzi.

  • Venezuela: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya ubinadamu

    Venezuela: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya ubinadamu

    Mar 08, 2020 08:05

    Makamu wa Rais wa Venezuela amelaani vikwazo vya upande mmoja vya serikali ya Marekani dhidi ya nchi yake na kuvitaja kuwa dhidi ya ubinadamu.

  • Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Feb 26, 2020 13:06

    Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.

  • Rais Nicolás Maduro: Hatuogopi hata kidogo kukabiliana kijeshi na Marekani

    Rais Nicolás Maduro: Hatuogopi hata kidogo kukabiliana kijeshi na Marekani

    Feb 18, 2020 16:07

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela sambamba na kufichua njama chafu za Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kuishambulia kijeshi nchi hiyo ya Amerika ya Latini, amesisitiza kuwa nchi yake haitishiki na makabiliano ya kijeshi.

  • Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani

    Feb 15, 2020 07:50

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.

  • Raia wa Venezuela watangaza mshikamano wao na Wairani kupinga ubeberu wa Marekani

    Raia wa Venezuela watangaza mshikamano wao na Wairani kupinga ubeberu wa Marekani

    Jan 26, 2020 16:14

    Wawakilishi wa Harakati za Kijamii na Kisiasa nchini Venezuela pamoja na kamati za kisiasa kote duniani, wametangaza mshikamano wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kulinda amani mkabala wa vitisho vya Marekani, kupitia maandamano ya amani yaliyofanyika Jumamosi ya Jana.

  • Sisitizo la Marekani la kumuunga mkono zaidi Juan Guaido; mwendelezo wa siasa zilizofeli za Washington

    Sisitizo la Marekani la kumuunga mkono zaidi Juan Guaido; mwendelezo wa siasa zilizofeli za Washington

    Jan 22, 2020 07:22

    Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, nchi yenye utajiri wa mafuta ya Venezuela imekuwa ikikabiliwa na mgogoro wa ndani wa kisiasa. Juan Guaido, kinara wa upinzani nchini Venezuela, Januari 23 mwaka jana alijitangaza kuwa Rais wa nchi hiyo.

  • Venezuela; imesimama imara mbele ya vikwazo na iko tayari kufanya mazungumzo na wapinzani

    Venezuela; imesimama imara mbele ya vikwazo na iko tayari kufanya mazungumzo na wapinzani

    Jan 20, 2020 12:57

    Licha ya kuendelea siasa za uhasama za Marekani na kutekelezwa vikwazo tofauti dhidi ya Venezuela, Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo ameweza kudhibiti mgogoro wa kisiasa na kiuchumi wa ndani na kurejesha usalama nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS