-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 19, 2020 02:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 18, 2020 16:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Sisitizo la Maduro kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi na makundi yenye kuchupa mipaka ndani ya Venezuela
Jan 16, 2020 12:11Katika kipindi cha uongozi wa Rais Doland Trump, Marekani imehusika na njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela na Rais wake Nicolás Maduro ili kumweka madarakani kibaraka wa Washington na kiongozi wa upinzani nchini humo Juan Guaidó; na inatumia kila wenzo kwa ajili ya kufikia lengo hilo.
-
Venezuela yaionya Marekani na kuitaka iache kuingilia masuala yake ya ndani
Jan 11, 2020 12:33Serikali ya Venezuela imeionya Marekani na kuitaka iache mchezo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Caracas.
-
Kuendelea mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela; kuwekewa Caracas vikwazo vipya
Dec 05, 2019 07:13Serikali ya Marekani imeendeleza mashinikizo yake dhidi ya Venezuela ambapo imeiwekea nchi hiyo vikwazo vipya katika sekta ya viwanda na biashara ya mafuta.
-
Trump alishauriana na Michel Temer kuivamia kijeshi Venezuela
Nov 28, 2019 10:25Rais wa zamani wa Brazil, Michel Temer, amesema kuwa, Rais wa Marekani alimuuliza kuhusu namna ya kuishambulia Venezuela.
-
Venezuela: Vikwazo vya Marekani ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Nov 21, 2019 01:05Venezuela imetangaza kuwa mamilioni ya dola ambazo ni mali ya wananchi wa nchi hiyo zimeathiriwa na hatua za vitisho na za upande mmoja za Marekani; na huo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Venezuela na radiamali ya Russia
Oct 01, 2019 11:16Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imejikita zaidi katika suala la kuipindua serikali ya mrengo wa kushoto nchini Venezuela na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro na kisha kuiweka uongozini serikali ambayo ni mshirika wake kwa uongozi wa kinara wa upinzani Juan Guaido.
-
Duru mpya ya hujuma za vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi zingine
Sep 28, 2019 07:59Marekani ina rekodi kubwa zaidi ya kutumia aina mbali mbali za vikwazo dhidi ya nchi zingine kwa ajili ya kufikia malengo ya siasa zake za nje. Ushadidishaji vikwazo unaofanywa na Washington katika kipindi cha urais wa Donald Trump umekuwa ukipingwa na kulaaniwa kimataifa. Pamoja na hayo kinachoendelea kushuhudiwa kila uchao ni kutangazwa vikwazo vingine vipya vya Marekani dhidi ya nchi zingine duniani.
-
Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji
Sep 27, 2019 07:09Rais Donald Trump wa Marekani jana Alkhamisi aliendeleza sera zake za kuiweka mashinikizo ya juu zaidi kwa shabaha ya kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri mbele ya matakwa ya serikali ya Washington.