-
Agizo jipya la Trump dhidi ya maafisa wa Iran na tapatapa za mfamaji
Sep 27, 2019 03:39Rais Donald Trump wa Marekani jana Alkhamisi aliendeleza sera zake za kuiweka mashinikizo ya juu zaidi kwa shabaha ya kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri mbele ya matakwa ya serikali ya Washington.
-
Maduro afichua mpango wa Marekani na Colombia wa kutaka kumuuwa
Sep 22, 2019 23:17Rais wa Venezuela amefichua mpango wa kutaka kumuuwa unaofanywa kwa siri na rais wa zamani wa Colombia kwa kushirikiana na Marekani.
-
Venezuela: Tutaichukulia hatua Colombia katika Umoja wa Mataifa
Sep 01, 2019 23:36Serikali ya Venezuela imesema kuwa itawasilisha ushahidi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu misaada na uungaji mkono unaotolewa na Colombia kwa makundi yanayobeba silaha ya upinzani dhidi ya serikali ya Rais Maduro.
-
Mazungumzo ya Marekani na serikali ya Venezuela; kulegeza kamba Trump kuhusu mpango wake wa kuipindua serikali ya Maduro
Aug 22, 2019 01:58Baada ya miezi kadhaa ya njama za Marekani za kutaka kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro wa Venenzuela, hivi sasa Washington imekata tamaa na siasa zake za kibabe na imebadilisha msimamo wake kikamilifu kwa kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa wa Caracas.
-
Maduro akosoa hatua za Trump dhidi ya Venezuela
Aug 19, 2019 22:03Kufuatia kuendelea vitisho na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amekosoa hatua za Rais Donald Trump dhidi ya nchi yake na kusema: "Hatua ambazo Rais wa Marekani anachukua dhidi ya Venezuela ni sawa na zile ambazo kiongozi wa Wanazi alichukua katika Vita Vikuu vya Pili vya Dunia."
-
Maduro afichua: Marekani na Colombia zimepanga njama ya kuniua
Aug 15, 2019 05:05Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amefichua kwamba, rais wa zamani wa Colombia ameajiri makumi ya mamluki waliopewa jukumu la kumuua yeye.
-
Serikali ya Venezuela yasimamisha mazungumzo na wapinzani kulalamikia vikwazo vya Marekani
Aug 09, 2019 20:47Marekani ikiwa ni nchi inayoingilia wazi wazi masuala ya ndani ya Venezuela imefanya juhudi nyingi za kuipigisha magoti serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo na pia kujaribu kumng'oa madarakani Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo lakini bila mafanikio yoyote.
-
John Bolton aingilia tena masuala ya ndani ya Venezuela
Aug 06, 2019 20:49Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa Washington inapinga kufanyika uchaguzi mpya nchini Venezuela madhali Rais wa sasa wa nchi hiyo ataendelea kusalia madarakani.
-
Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela
Jul 23, 2019 03:03Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.
-
Jumuiya ya NAM yasisitiza kuheshimiwa mitazamo ya pande kadhaa na sheria za kimataifa
Jul 22, 2019 01:25Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, wamekutana huko Caracas, mji mkuu wa Venezuela na kusisitiza umuhimu wa kuzingatiwa mitazamo ya pande kadhaa na kueshimiwa sheria za kimataifa.