Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala

    Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala

    Feb 09, 2023 02:19

    Kikosi cha waokoaji 52 wa Venezuela na wahudumu wa idara ya zima moto waliondoka jana Jumatano Caracas wakielekea katika nchi za Uturuki na Syria kwa ajili ya operesheni ya uokoaji wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililozikumba nchi hizo.

  • Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela

    Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela

    Feb 04, 2023 07:32

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Venezuela wametilia mkazo udharura wa kuzidisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti bila vizingiti.

  • Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Dec 28, 2022 01:57

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.

  • Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

    Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi

    Dec 26, 2022 02:18

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.

  • Serikali mpya ya Brazil kurejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Venezuela

    Serikali mpya ya Brazil kurejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Venezuela

    Dec 15, 2022 07:09

    Serikali mpya ya Brazil inapanga kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na Venezuela, ambao ulivunjwa wakati wa serikali iliyopita ya nchi hiyo.

  • Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela

    Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela

    Nov 29, 2022 02:27

    Baada ya kupita takriban miaka 10 ya vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Venezuela, hatimaye Washington imesalimu amri na imeamua kupigia magoti mafuta ya Venezuela.

  • Rais wa Venezuela: Vikwazo ni jinai dhidi ya binadamu

    Rais wa Venezuela: Vikwazo ni jinai dhidi ya binadamu

    Sep 26, 2022 10:56

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema, vita vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake ni "jinai dhidi ya binadamu" na ametabiri kuundwa ulimwengu wa kambi kadhaa kwa mchango wa Iran, Russia na China.

  • Bolton akiri kupanga na kutekeleza njama za mapinduzi katika nchi tofauti duniani

    Bolton akiri kupanga na kutekeleza njama za mapinduzi katika nchi tofauti duniani

    Jul 13, 2022 10:25

    John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya White House amekiri kushiriki katika mipango na njama za mapinduzi dhidi ya serikali za nchi tofauti duniani.

  • Raisi: Mataifa ya wanamapambano yana nguvu kubwa za kusambaratisha vikwazo vya Marekani

    Raisi: Mataifa ya wanamapambano yana nguvu kubwa za kusambaratisha vikwazo vya Marekani

    Jun 13, 2022 03:38

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Tehran ya kutengeneza meli kubwa ya mafuta na kuikabidhi kwa Venezuela imethibitisha kivitendo kuwa mataifa ya wanamapambano yana nguvu kubwa za kuweza kusambaratisha vikwazo vya Marekani.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani

    Jun 12, 2022 09:03

    Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS