-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani
Jun 12, 2022 04:33Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya Marekani
Jun 11, 2022 22:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
-
Maduro: Iran na Venezuela ziko mstari wa mbele kupambana na madola ya kibeberu
Jun 11, 2022 02:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndizo nchi zilizoko mstari wa mbele katika kupambana na ubeberu na uistikbari duniani kutokana na kuwa lengo lao ni moja.
-
Rais Maduro wa Venezuela aitembelea Iran kwa ziara ya siku 2
Jun 10, 2022 22:10Rais Nicolas Maduro wa Venezuela aliwasili hapa Tehran jana Ijumaa kwa safari rasmi ya kikazi ya siku mbili ya kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Venezuela zasaini makubaliano ya ushirikiano ya miaka 20
Jun 11, 2022 06:46Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Venezuela, Nicolas Maduro wamesaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano ya miaka 20, yenye lengo la kupiga jeki uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga mbalimbali.
-
Venezuela: Tutazipatia Ulaya na Marekani mafuta ikiwa vikwazo vitaondolewa
Mar 12, 2022 03:57Mwenyekiti wa kamati ya mafuta na nishati katika Bunge la Venezuela amesema, ikiwa vikwazo vitaondolewa, nchi hiyo inaweza kudhaminii mahitaji ya nishati ya Marekani na Ulaya mnamo katikati ya mwaka huu.
-
"CIA ilifahamu kuhusu njama za kumpindua Rais wa Venezuela"
Jan 30, 2022 04:22Imebainika kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa utawala wa Marekani wakiwemo maafisa waandamizi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, walifahamu kuhusu kuwepo kwa njama za kumpindua madarakani Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Kinara wa upinzani Venezuela: Niko tayari kufanya mazungumzo na serikali ya Maduro
Jan 29, 2022 23:14Kinara wa upinzani nchini Venezuela ametangaza utayari wake wa kuanza tena kkufanya mazungumzo na serikali ya Rais Nicolas Maduro.
-
Kukua uchumi wa Venezuela licha ya miaka kadhaa ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Jan 18, 2022 23:10Licha ya njama mtawalia za Marekani za kuhakikisha Venezuela inatengwa kieneo na kimataifa, lakini Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini ametangaza kuwa, Venezuela imerejea katika mkondo wa ustawi na kukua uchumi wake licha ya miaka kadhaa ya njama hizo za Marekani.
-
Sisitizo la Rais Maduro la kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 28, 2021 23:10Sambamba na kuendelea mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya taifa na serikali ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hivyo amesema kuwa, taifa hilo limesimama kidete dhidi ya ubeberu na limefanikiwa kuibuka na ushindi.