Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Apr 19, 2020 03:22

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.

  • Kwa mara nyingine UN yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake duniani wakati huu wa corona

    Kwa mara nyingine UN yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake duniani wakati huu wa corona

    Apr 16, 2020 03:12

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine ametilia mkazo mwito wa umoja huo wa kuitaka Marekani ifute vikwazo vyake kwa mataifa ya dunia wakati huu wa vita dhidi ya COVID-19.

  • Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Apr 15, 2020 03:39

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Kimataifa na Ulinzi ya Bunge la Juu la Uingereza (House of Lords) amesema anaunga mkono miito inayotolewa na maafisa wa nchi za Ulaya na Marekani za kutaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iondolewa vikwazo, katika kipindi hiki ambapo Iran inaendelea kukabiliana na maambukizi makubwa ya virusi vya Corona.

  • Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo

    Apr 12, 2020 23:06

    Baraza la Makanisa Duniani na Jumuiya ya Kitaifa ya Makanisa ya Kristo zimeeleza wasiwasi wao juu ya athari mbaya za vikwazo vya Marekani dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi

    Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi

    Apr 06, 2020 23:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kuzinduliwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni chanya, lakini haitoshi kukidhi maslahi yote ya Iran.

  • Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Apr 03, 2020 23:43

    Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.

  • Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake

    Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake

    Apr 01, 2020 21:55

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza fursa ya kipekee na ya kihistoria ya kusahihisha makosa yake kwa kukataa kulindolea taifa hili vikwazo haramu wakati huu ambapo Iran inakabiliana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwana virusi vya corona.

  • Ripota Maalumu wa UN ataka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Ripota Maalumu wa UN ataka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Apr 01, 2020 03:37

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya "Haki ya Chakula" ametaka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani.

  • Zarif: Marekani inafanya ugaidi wa kitiba na kiuchumi dhidi ya taifa la Iran

    Zarif: Marekani inafanya ugaidi wa kitiba na kiuchumi dhidi ya taifa la Iran

    Mar 29, 2020 22:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumzia vita vya pande zote na visivyo na kifani vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza udharura wa kukomeshwa vikwazo haramu vya serikali ya Washington.

  • Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Mar 28, 2020 01:47

    Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS