Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Vyama vya ndani ya Yemen

  • Nyumba, soko na shule; maeneo matatu yaliyolengwa na uhalifu wa Saudi Arabia huko Taiz

    Nyumba, soko na shule; maeneo matatu yaliyolengwa na uhalifu wa Saudi Arabia huko Taiz

    Sep 30, 2026 03:17

    Kituo cha Haki za Binadamu cha Yemen kimelaani uhalifu unaoendelea kufanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia huko Taiz na kutoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mashambulizi hayo.

  • Ansarullah: Jeshi la Yemen liko katika “Vita vya Maamuzi” dhidi ya Saudia

    Ansarullah: Jeshi la Yemen liko katika “Vita vya Maamuzi” dhidi ya Saudia

    Sep 22, 2026 12:24

    Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa jeshi la nchi hiyo linashiriki katika “vita vya maamuzi” dhidi ya Saudi Arabia. Amesisitiza kuwa hatua yoyote ya Saudia ya kushadidisha uhasama itasababisha moja kwa moja kupanuka kwa wigo wa mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Yemen.

  • Yemen kuendeleza mlingano wa

    Yemen kuendeleza mlingano wa "kuishambulia Riyadh mkabala wa Sana'a"; yatoa onyo pia kwa US

    Sep 21, 2026 10:27

    Mkuu wa idara ya habari ya ofisi ya rais wa Yemen amesema, serikali ya Sana'a imedhamiria kuendeleza mlingano wa "Riyadh mkabala wa Sana'a" wa kuushambulia kijeshi mji mkuu wa Saudi Arabia mkabala wa kushambuliwa mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a na kutoa onyo pia kwa serikali ya Marekani.

  • Ripoti: Syria yakataa ombi la Saudia la kutuma mamluki dhidi ya vikosi vya Yemen

    Ripoti: Syria yakataa ombi la Saudia la kutuma mamluki dhidi ya vikosi vya Yemen

    Sep 19, 2026 11:44

    Inaripotiwa kuwa kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) linalotawala baadhi ya maeneo nchini Syria, limekataa ombi rasmi kutoka kwa utawala wa Saudia la kupanga na kuwapeleka mamluki na wanamgambo wa Kisyria nchini Yemen ili kupambana na Jeshi la Yemen, ambalo limekuwa likitoa vipigo vikali vya kijeshi dhidi ya mamluki wanaoungwa mkono na Saudia.

  • Baghaei ajibu madai ya Saudi Arabia kuhusu kushambuliwa mji mtakatifu wa Makka

    Baghaei ajibu madai ya Saudi Arabia kuhusu kushambuliwa mji mtakatifu wa Makka

    Sep 18, 2026 03:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, madai ya kuzuia ndege isiyo na rubani iliyokuwa ikielekea katika mji mtakatifu wa Makka hayawezi kuwa msingi wa kuutuhumu upande wowote.

  • Al-Houthi: Madai ya Saudia kuwa Yemen imelenga Makkah ni “uongo wa kuchukiza,” na kashfa ya wazi

    Al-Houthi: Madai ya Saudia kuwa Yemen imelenga Makkah ni “uongo wa kuchukiza,” na kashfa ya wazi

    Sep 18, 2026 03:46

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul-Malik al-Houthi, amelaani vikali madai ya Saudi Arabia kuwa vikosi vya Yemen vimelenga mji mtakatifu wa Makkah, akifutilia mbali madai hayo kama “uongo mkubwa, mbaya, na wa kuchukiza” unaolenga kuhalalisha vita vya Saudia dhidi ya Yemen.

  • Yemen yashambulia kambi ya kijeshi ya Saudia kwa makombora na ndege zisizo na rubani kulipiza kisasi

    Yemen yashambulia kambi ya kijeshi ya Saudia kwa makombora na ndege zisizo na rubani kulipiza kisasi

    Sep 13, 2026 11:22

    Majeshi ya Jamhuri ya Yemen (YAF) yametekeleza operesheni kubwa ya pamoja ya makombora ya balistiki na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya kambi ya kijeshi ya Saudia katika eneo la Sharurah mkoani Najran kusini mwa ufalme huo, ikiwa ni jibu kwa kuendelea mashambulizi ya Saudia dhidi ya ardhi ya Yemen.

  • Iran: Mamlaka ya kujitawala ya Yemen lazima yaheshimiwe, mzingiro haramu lazima ukomeshwe

    Iran: Mamlaka ya kujitawala ya Yemen lazima yaheshimiwe, mzingiro haramu lazima ukomeshwe

    Sep 12, 2026 04:31

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza tena msimamo wake thabiti na wa kimisngi kuhusu ulazima wa kuheshimiwa uhuru, mamlaka ya kitaifa ya kujitawala na umoja wa ardhi yote ya Yemen, na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja mzingiro haramu na usio wa kibinadamu uliowekwa dhidi ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Yemen lashambulia meli ya kivita za Saudia katika Bahari ya Sham

    Jeshi la Yemen lashambulia meli ya kivita za Saudia katika Bahari ya Sham

    Aug 18, 2026 03:21

    Jeshi la Yemen limeishambulia meli ya kivita na boti kadhaa za kijeshi za Saudia katika Bahari ya Sham, ikiwa ni sehemu ya jibu la kulipiza kisasi dhidi ya kampeni ya kijeshi na mzingiro unaoendelea wa ufalme wa Saudia dhidi ya taifa la Yemen.

  • Afisa wa Yemen: Hatujawahi katu kufunga milango ya mazungumzo na Saudia

    Afisa wa Yemen: Hatujawahi katu kufunga milango ya mazungumzo na Saudia

    Aug 12, 2026 03:24

    Mkuu wa ujumbe wa Yemen katika mazungumzo ya amani amesema, Sana'a haijawahi kufunga milango ya mazungumzo na Saudi Arabia, bali Saudia ndiyo inayokataa suala hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS