-
LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016
Apr 25, 2016 04:04Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.
-
Wanajeshi wa serikali wauawa kaskazini mwa Mali
Apr 24, 2016 14:48Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.