-
Trump atamka rasmi: Marekani itawahamisha Wapalestina na 'itaitwaa' na 'kuimiliki' Ghaza
Feb 05, 2025 02:22Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hadharani kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Ghaza, na kulijenga upya eneo hilo lililoharibiwa na vita na kuandaa fursa za kiuchumi kwa wakazi wake wa baadaye; na alipoulizwa kama atapeleka huko wanajeshi wa Marekani, Trump ameapa "kufanya kitakacholazimu."
-
"US inawakandamiza wafungwa wa Guantanamo, iombe radhi"
Jun 27, 2023 03:25Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna Marekani inayoamiliana kikatili na wafungwa walioko katika Gereza la Guantanamo akisisitiza kuwa, Washington inapaswa kuomba radhi kwa jinai na miamala ya kinyama inayofanyiwa wafungwa hao.
-
Amnesty International: Marekani inapasa kufuta doa la Guantamano
Jan 12, 2023 00:57Sambamba na maadhimisho ya kutimia mwaka wa 21 tangu kuanza kazi gereza la Guantanamo huko katika Ghuba ya Cuba; Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limelaani jinai za miaka 21 katika gereza hilo zilizotekelezwa na Wamarekani.
-
Iran: Marekani haina azma ya kufunga jela ya Guantanamo
Jan 13, 2022 23:23Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Idara ya Mahakama ya Iran ameukosoa vikali utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kwa kufeli kutekeleza ahadi yake ya kufunga jela ya kutisha ya Guantanamo Bay iliyoko nchini Cuba.
-
Amri ya Trump ya kuendelea shughuli za gereza linalonuka kwa ubaya la Guantanamo
Feb 01, 2018 23:29Baada ya kupita masaa machache tu tangu Donald Trump atoe hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Kongresi, rais huyo wa Marekani ametoa amri jela inayonuka kwa ubaya ya Guantanamo iendelee na shughuli zake.
-
White House yakiri, Obama ameshindwa kufunga gereza la Guantanamo
Jan 18, 2017 23:26Ikulu ya Marekani White House imekiri kuwa Rais Barack Obama wa nchi hiyo ameshindwa kufunga gereza la kutisha la Guantanamo mwishoni mwa muhula wake huu wa pili kama alivyoahidi.
-
Trump amuonya Obama dhidi ya kuwahamisha wafungwa wa Gitmo
Jan 04, 2017 03:55Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemuonya rais anayeondoka wa nchi hiyo Barack Obama juu ya kuwahamisha wafungwa wa jela ya Guantanamo iliyoko nchini Cuba.
-
Wafungwa 15 wa Guantanamo wahamishiwa Imarati
Aug 16, 2016 23:28Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imewahamisha wafungwa 15 wa jela ya kutisha ya Guantanamo na kuwapeleka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ukiwa ni uhamisho mkubwa zaidi wa wafungwa hao kufanywa na utawala wa Rais Barack Obama wa Marekani.