-
Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani
May 11, 2021 20:14Baraza la Juu la Bunge la Ujerumani (Bundesrat) limepasisha sheria inayowapiga marufuku wafanyakazi wa serikali na polisi kuvaa vazi la hijabu.
-
China yapinga unafiki wa Marekani, yasema Washington imeua Waislamu wengi dunia
May 11, 2021 12:42China imepinga unafiki wa Merekani katika madai yake ya kutetea haki za Waislamu waliowachache katika eneo la Magharibi mwa China la Xinjiang, na kusisitiza kuwa, Marekani imeua Waislamu wengi katika vita na operesheni zake za kijeshi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.
-
Utafiti: Idadi ya Waislamu imeongezeka nchini Ujerumani
Apr 29, 2021 07:40Uchunguzi uliofanywa na Idara ya Uhamiaji na Wakimbizi ya Ujerumani umebaini kuwepo ongeseko kubwa la idadi ya Waislamu nchini humo katika miaka ya karibuni.
-
CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita
Apr 27, 2021 03:14Kundi linaloongoza kwa kutetezi haki za Waislamu nchini Marekani lilitangaza Jumatatu ya jana kwamba kumekuwepo ongezeko la asilimia 9 ya idadi ya malalamiko ya unyanyasaji dhidi ya Waislamu ambayo yalipokewa mwaka uliopita wa 2020 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.
-
Kukiri Biden juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu nchini Marekani
Apr 13, 2021 21:52Rais Joe Biden wa Marekani amekiri katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu katika jamii ya Marekani.
-
Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel
Apr 01, 2021 06:05Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuungana na kushikamana Waislamu pasina kujali tofauti zao za kimitazamo na kiitikadi kumesambaratisha njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kuyagawanya vipande vipande mataifa ya Kiislamu.
-
Sri Lanka kupiga marufuku niqab, kufunga shule zaidi ya 1,000 za Kiislamu
Mar 14, 2021 04:37Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa kushtadi chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Sri Lanka, serikali ya nchi hiyo imetangaza kuwa karibuni hivi itapiga marufuku uvaaji wa vazi la staha la burqa (niqabu) ambalo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Sri Lankia yafuta agizo la kuchoma maiti za Waislamu baada ya kuzongwa na malalamiko
Feb 26, 2021 23:20Serikali ya Sri Lanka jana Ijumaa ilifuta agizo la kuchomwa moto maiti za watu walioaga dunia kutokana na virusi vya corona, siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan, kutoa wito wa kuheshimiwa ada na taratibu za kidini za Waislamu nchini Sri Lanka.
-
Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83
Feb 08, 2021 08:52Viongozi na wanaharakati wa Kiislamu nchini Kenya wamekosoa vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kupitia Shirika la Reli kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83 katika kaunti ya Kisumu, magharibi mwa nchi.
-
Sri Lanka yatakiwa kuacha kuchoma maiti za Waislamu
Jan 10, 2021 00:51Jumuiya 16 zisizo za kiserikali nchini Australia zimetoa wito wa kushinikizwa serikali ya Sri Lanka ili isitishe kuchoma moto maiti za Waislamu wanaoaga dunia kutokana na virusi vya corona nchini Sri Lanka.