-
Odinga kutoa ushahidi wa wizi wa kura leo, kutangaza hatua atakayochukua
Aug 15, 2017 03:11Aliyekuwa mgombea wa urais wa muungano wa upinzani wa NASA katika uchaguzi mkuu wa wiki jana nchini Kenya, Raila Odinga anatazamiwa kutoa ushahidi wa kuyapa nguvu madai yake kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais yalichakachuliwa.
-
Zambia kumuachia huru kiongozi wa upinzani, kumfutia mashtaka ya uhaini
Aug 13, 2017 09:31Serikali ya Zambia inatazamiwa kumfutia mashitaka ya uhaini sambamba na kumuachia huru kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, Hakainde Hichilema.
-
Odinga: Kesho Jumatatu msiende kazini, Jumanne nitatoa tangazo muhimu
Aug 13, 2017 09:18Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake wasiende kazini kesho Jumatatu na wajiandae kupokea kile alichokitaja kuwa maelekezo na tangazo zito litakalotikisa taifa siku ya Jumanne.
-
Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais
Aug 10, 2017 10:47Mrengo wa upinzani wa NASA nchini Kenya umeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imtangaze mgombea wa muungano huo Raila Odinga kuwa, mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo siku ya Jumanne.
-
Kuendelea kunyongwa wapinzani nchini Saudi Arabia
Jul 13, 2017 07:03Katika kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia, utawala wa Aal Saud umewanyonga raia wanne wa nchi hiyo wa mji wa Qatif.
-
Wapinzani wa serikali ya Misri wanapanga kumuondoa madarakani al Sisi
Jul 05, 2017 10:06Mamia ya wapinzani wa serikali ya Misri walioko nje ya nchi wamenzisha kampeni ya kuunga mkono harakati ya kumuondoa madarakani Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain
Jul 01, 2017 23:45Kamati ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya Kupinga Ukandamizaji imetangaza katika ripoti yake kuwa, wapinzani nchini Bahrain wanaendelea kufanyiwa ukandamizaji mateso makubwa.
-
Mkuu wa mrengo wa upinzani Syria akiri nchi hiyo inakabiliwa na njama nyingi chafu
Jun 27, 2017 21:53Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria aliyejiunga na wapinzani wa serikali miaka michache iliyopita, sambamba na kutangaza kuachana na shughuli za siasa amekiri kwamba kuna njama chafu zinazofanywa dhidi ya nchi hiyo.
-
Mwanaharakati wa Saudia: Mapinduzi dhidi ya utawala wa Aal-Saud yanakaribia
Jun 22, 2017 09:26Mwanaharakati wa upinzani na msomi mkubwa raia wa Saudia anayeishi nje ya nchi amesema kuwa, mapinduzi muhimu ya kuung'oa utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini humo yanakaribia.
-
Kiongozi wa upinzani Niger ahukumiwa kifungo jela
Jun 06, 2017 09:18Mahakama moja nchini Niger hii leo imetoa hukumu ya kifungo cha miezi mitatu jela dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini humo, aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuchochea mapinduzi dhidi ya serikali.