-
Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine
Feb 04, 2023 02:14Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel baada ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kutangaza Jumatano usiku kwamba anachunguza suala la kutuma msaada wa kijeshi wa utawala huo nchini Ukraine.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 24, 2022 02:24Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Italia, mabadiliko katika siasa za ndani na nje
Oct 24, 2022 04:00Giorgia Meloni amepewa rasmi jukumu la uwaziri mkuu wa Italia kutoka chama chenye misimamo mikali ya kulia cha Brothers of Italy. Hayo yamekuja baada ya kufanyika mazungumzo ya pande kadhaa na hatimaye Rais wa Italia amempa jukumu Meloni la kuunda serikali mpya akiwa ni Waziri Mkuu wa kwanza kabisa mwanamke katika historia ya Italia.
-
Kuongezeka maradufu bajeti ya kijeshi ya UK, kushiriki London kwenye chokochoko za kijeshi za Washington
Sep 27, 2022 02:12Licha ya Uingereza kukumbwa na mgogoro wa kiuchumi baada ya janga la corona na kupungua thamani ya sarafu ya nchi hiyo, lakini London imeamua kuongeza maradufu bajeti yake ya matumizi makubwa ya kijeshi.
-
Ushindi wa mrengo wenye misimamo mikali katika uchaguzi wa Uswidi; onyo kwa Ulaya
Sep 16, 2022 13:26Muungano mpya wa kisiasa ulioanzishwa kati ya vuguvugu la mrengo wa kulia wa wastani na wa mrengo mkali wa kulia nchini Uswidi umeshinda uchaguzi wa bunge kwa tofauti ndogo na kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Uswidi baada ya miaka minane.
-
Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India
Jul 11, 2022 02:36Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.
-
Waziri Mkuu Uhispania: Morocco inapaswa kulaumiwa kwa maafa ya wahajiri wa Kiafrika, Melilla
Jul 04, 2022 14:09Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba mkasa wa wahajiri wa Kiafrika katika eneo la Melilla unapaswa kuchunguzwa nchini Morocco na kwamba ni serikali ya Rabat ambayo inapaswa kuwajibika katika suala hili.
-
Najib Miqati: Serikali ijayo ya Lebanon itatatua suala la mipaka na umeme
Jun 29, 2022 07:44Waziri Mkuu wa Lebanon aliyechaguliwa kwa mara ya nne katika wadhifa huo na kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri amesema kuwa, serikali mpya ya nchi hiyo italipatia ufumbuzi suala la kuianisha mipaka ya baharini kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni na kadhia ya umeme.
-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 17, 2022 02:32Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2022 02:33Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.