-
Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba
May 03, 2022 04:44Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.
-
Al Kadhimi: Wapiganaji wa Daesh hawana chaguo isipokuwa kifo
Apr 23, 2022 11:29Waziri Mkuu wa Iraq amewambia magaidi wa Daesh (ISIS) kwamba wanasubiriwa na mashambulizi zaidi na mauaji ya kiongoi mpya wa kundi hilo.
-
Aliyependekezwa na mrengo wa Sadr atangaza utayari wa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq
Mar 24, 2022 13:24Mwanasiasa aliyependekezwa na kuungwa mkono na Harakati ya Sadr kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, ametangaza kuwa yuko tayari kushika wadhifa huo.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 06:05Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani
Jan 08, 2022 02:49Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu Hamdok na kushitadi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Jan 05, 2022 02:40Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye Jumapili usiku alitangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu
Jan 03, 2022 07:44Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan
Dec 22, 2021 02:36Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.
-
Kupitishwa na Bunge la Uingereza sheria ya kibaguzi dhidi ya wahamiaji
Dec 11, 2021 02:45Bunge la Uingereza limepitisha sheria tatanishi ya "Utaifa na Mipaka", Nationality and Borders kwa kura 298 za wabunge waliounga mkono dhidi ya 231 walioupinga mswada wa sheria hiyo.
-
Ufaransa yapinga ombi la Uingereza, mizozo yashadidi baina ya pande mbili
Dec 04, 2021 02:39Baada ya siku saba, Ufaransa imekataa ombi la Uingereza lililokuwa limetolewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson kwa Rais Emmanuel Macron.