-
Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani
Jan 07, 2022 23:19Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu Hamdok na kushitadi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Jan 04, 2022 23:10Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye Jumapili usiku alitangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu
Jan 03, 2022 04:14Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan
Dec 21, 2021 23:06Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.
-
Kupitishwa na Bunge la Uingereza sheria ya kibaguzi dhidi ya wahamiaji
Dec 10, 2021 23:15Bunge la Uingereza limepitisha sheria tatanishi ya "Utaifa na Mipaka", Nationality and Borders kwa kura 298 za wabunge waliounga mkono dhidi ya 231 walioupinga mswada wa sheria hiyo.
-
Ufaransa yapinga ombi la Uingereza, mizozo yashadidi baina ya pande mbili
Dec 03, 2021 23:09Baada ya siku saba, Ufaransa imekataa ombi la Uingereza lililokuwa limetolewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson kwa Rais Emmanuel Macron.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon asikitishwa na uamuzi wa Saudia kuhusiana na mabalozi wa nchi mbili
Oct 30, 2021 04:15Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati amesema, amesikitishwa na uamuzi wa Saudi Arabia wa kumpa muhula maalumu balozi wa Lebanon awe ameshaondoka nchini humo sambamba na kumwita nyumbani balozi wake wa mjini Beirut.
-
Mapinduzi ya kijeshi na kuuzuliwa Waziri Mkuu; ishara ya kushadidi mgogoro wa kisiasa Sudan
Oct 26, 2021 03:10Baada ya kupita siku 33 tangu kutokea jarIbio la mapinduzi lililofeli nchini Sudan, mapinduzi mapya ya kijeshi yametokea katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa Tunisia
Oct 12, 2021 23:00Hatimaye baada ya vuta nikuvute ya kisiasa ya majuma kadhaa nchini Tunisia, serikali mpya ya nchi hiyo imeapishwa ikiongozwa na mwanamama Najla Bouden Romdhane.
-
Mgogoro wa nishati Uingereza, nembo ya kushindwa serikali ya Wahafidhina
Sep 29, 2021 22:53Mgogoro wa mafuta na uhaba wa petroli nchini Uingereza ni mkubwa kisasi kwamba magari yamekuwa yakihujumu vituo vya mafuta kwa ajili ya kupata bidhaa hiyo muhimu lakini bila mafanikio, jambo ambalo hatimaye limeipelekea serikali ya Wahafidhina kulitaka jeshi liwe tayari kuingilia kati ili kuokoa hali ya mambo.