-
Waislamu Waanza kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad na Wiki ya Umoja
Oct 29, 2020 02:55Leo tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya wanazuoni wa Kiislamu, inasadifia na siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw) na kuanza Wiki ya Umoja baina ya Waislamu.
-
Pongezi kwa munasaba wa Maulid ya Mtume Mtukufu SAW wa Uislamu na kuanza Wiki ya Umoja
Nov 20, 2018 04:49Leo Jumanne, 12 Rabiul Awwal mwaka 1440 Hijria Qamaria, sawa na Novemba 20 2018, kwa mujibu wa baadhi ya riwaya ni siku ya kukumbuka na kuadhimisha kuzaliwa (Maulid) Bwana Mtume Muhammad al Mustafa SAW, Mtume Mtukufu wa Uislamu. Siku hii pia ni mwanzo wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
-
Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 01, 2017 15:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema, kongamano la kila mwaka la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran na kushirikisha nchi 70
Nov 28, 2017 16:34Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 250 kutoka nchi 70 duniani.
-
Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran
Nov 27, 2017 08:11Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amemwalika rasmi Sheikh wa al Azhar nchini Misri kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaoanza tarehe 4 mwezi ujao wa Disemba hapa mjini Tehran.
-
Ayatullah Larijani: Kulindwa umoja ni jukumu la kidini na kiakili la Waislamu
Dec 12, 2016 13:54Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza juu ya kufanyika juhudi kadiri inavyowezekana kwa ajili ya kulinda umoja na mshikamano baina ya Waislamu na kusimama kidete mbele ya mabeberu.