-
SAUTI, Waislamu wahimizwa kutozembea kuzipata fadhila za 'Usiku wa Heshima' katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani
May 18, 2020 11:05Waislamu wamehimizwa kuendeleza ibada mbalimbali ndani ya kumi la mwisho la mwezi huu wa Ramadhani ili kuweza kupata fadhila za Usiku wa Heshima (Lailatul-Qadr).
-
Baada ya kuongezeka wagonjwa 23, idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Zanzibar yafikia 58
Apr 19, 2020 10:31Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya corona vya COVID-19.
-
Waislamu Zanzibar wahimizwa kujifunza elimu ya ndoa ili kuepuka talaka holela + Sauti
Dec 27, 2019 12:20Waislamu visiwani Zanzibar hasa vijana wametakiwa kulipa umuhimu suala la elimu ya ndoa ili kupunguza wimbi la talaka za kiholela ambazo kimsingi zinahesabiwa ni sehemu moja ya kukanyaga haki za watoto. Hayo na mengineyo yamo kwenye ripoti ya kila wiki ya matukio ya Kiislamu, Afrika Mashariki, kama inavyoletwa kwenu na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
-
Kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba: Sikumkamata Maalim Seif kwa kuwa hakufanya kosa lolote kwenye mikutano yake
Dec 14, 2019 12:36Kamanda Polisi wa Mkoa wa Kaskazini kisiwani Pemba, Sheikhan Mohamed Sheikhan amesema mahojiano yaliyofanywa na jeshi hilo kuwahusu viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, yanaonyesha kuwa walifanya mikutano yao bila ya kuvunja sheria.
-
ACT-Wazalendo yalalamika kufanyiwa hujuma visiwani Zanzibar + Sauti
Dec 02, 2019 13:31Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo visiwani Zanzibar wametahadharisha kuhusu madhara yanayoweza kutokea kutokana na kile wanachoamini ni hujuma za makusudi zinazoendeshwa dhidi ya viongozi wa chama hicho visiwani Unguja na Pemba. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
SAUTI, Rais Mohamed Shein: Kukosekana sheria kali, kunawafanya wahalifu wa mitandao, kuwanajisi watoto
Nov 05, 2019 12:52Kukosekana kwa sheria kali inayodhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii, kumepelekea ongezeko la jinai nyingi zinazowakabili watu wengi.
-
Matukio ya Kiislamu: Kitabu kipya cha Maulidi kuzinduliwa Zanzibar, kitagaiwa bure + Sauti
Nov 01, 2019 13:01Kitabu kipya kinachozungumzia mazazi ya Bwana Mtume Muhammad SAW kuzinduliwa visiwani Zanzibar sambamba na kuingia mwezi wa Mfunguo Sita ambapo hushamiri sana sherehe za Maulidi ya mtukufu huyo wa daraja. Hayo na mengineyo yamo kwenye ripoti ya kila wiki ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit…
-
Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti
Sep 07, 2019 04:19Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...
-
Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti
Aug 30, 2019 12:11Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...
-
Mufti wa Zanzibar awataka wanawake wa Kiislamu kuwa mstari wa mbele kutetea dini yao + Sauti
Aug 26, 2019 02:02Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh al Kaabi, amewataka wanawake wa Kiislamu visiwani humo kuwa mstari wa mbele katika kutetea dini yao. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar...