ACT-Wazalendo yalalamika kufanyiwa hujuma visiwani Zanzibar + Sauti
Dec 02, 2019 17:01 UTC
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo visiwani Zanzibar wametahadharisha kuhusu madhara yanayoweza kutokea kutokana na kile wanachoamini ni hujuma za makusudi zinazoendeshwa dhidi ya viongozi wa chama hicho visiwani Unguja na Pemba. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
Tags