Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zanzibar

  • Mahujaji 1700 wanatarajiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokea Zanzibar + Sauti

    Mahujaji 1700 wanatarajiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kutokea Zanzibar + Sauti

    Jul 15, 2019 00:12

    Mahujaji watarajiwa 1700 kutoka Zanzibar nchini Tanzania wametakiwa kufuata kwa vitendo mafunzo waliyopatiwa na viongozi wa taasisi za Hija zinazowasafirisha ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar

  • Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

    Jun 28, 2019 11:24

    Kama kawaida, wiki hii pia kuna matukio mengi ya Kiislamu yametokea katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ametukusanyia baadhi ya matukio hayo katika ripoti yake hii ya kila wiki...

  • SAUTI, Rais Mohamed Shein wa Zanzibar akemea upandishaji bei wa bidhaa ndani ya Ramadhan, Chuo cha ndoa ZNZ na Tende zaadimika Kenya

    SAUTI, Rais Mohamed Shein wa Zanzibar akemea upandishaji bei wa bidhaa ndani ya Ramadhan, Chuo cha ndoa ZNZ na Tende zaadimika Kenya

    May 24, 2019 10:12

    Rais Dk Ali Mohamed Shein wa Zanzibar amewakemea wafanyabiashara kupandisha bei kwa bidhaa muhimu zinazotumika sana ndani ya mwezi wa Ramadhan na hata katika miezi mingine. Kadhalika Rais Shein amewaonya wafanya biashara wenye tamaa ya kupata utajiri wa haraka kuacha kuuza biadhaa zilizopitwa na wakati au zile ambazo hazijafikia wakati wa kutumiwa hususan mazao ya shambani.

  • SAUTI, Kamati ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar yafanya kikao cha dharura na kuwatahadharisha watu wanaoishi mabondeni

    SAUTI, Kamati ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar yafanya kikao cha dharura na kuwatahadharisha watu wanaoishi mabondeni

    May 10, 2019 10:23

    Kamati ya Kitaifa Kukabiliana na Maafa Zanzibar imefanya mkutano wa dharura kuchunguza ukubwa wa hasara na maafa vilivyosababishwa na mvua za siku tatu zilizonyesha hivi karibuni visiwani humo.

  • Wazanzibar waadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi, Rais Shein aelezea mafanikio katika maeneo tofauti + Sauti

    Wazanzibar waadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi, Rais Shein aelezea mafanikio katika maeneo tofauti + Sauti

    Jan 12, 2019 12:44

    Jumamosi ya leo Wazanzibar wamesherehekea kumbukumbu ya mapinduzi yaliyofanyika hapo mwaka 1964.

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Jan 05, 2019 02:47

    Wiki hii kama ilivyojiri kwa wiki zilizopita, kumekuwa na matukio mengi yanayohusiana na Waislamu wa Afrika Mashariki. Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti ifuatayo...

  • Vyama 6 vya siasa Tanzania vyajadili demokrasia katika mkutano wa Zanzibar+SAUTI

    Vyama 6 vya siasa Tanzania vyajadili demokrasia katika mkutano wa Zanzibar+SAUTI

    Dec 18, 2018 14:58

    Viongozi na wanachama waandamizi wa Vyama sita vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekutana visiwani Zanzibar hii leo na kujadili juu ya dira ya taifa.

  • Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lafanyika Zanzibar+SAUTI

    Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lafanyika Zanzibar+SAUTI

    Dec 13, 2018 12:28

    Zanzibar ni mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili. Kongamano hilo la siku mbili limefunguliwa rasmi na Rais Dkt Ali Mohammad Shein, ambaye amesisitiza haja ya kuenziwa magwiji na waandishi wa vitabu vya Kiswahili. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ana maelezo zaidi......

  • Viongozi wa Waislamu Zanzibar wataka kufungwa mabaa visiwani humo

    Viongozi wa Waislamu Zanzibar wataka kufungwa mabaa visiwani humo

    Dec 09, 2018 04:11

    Viongozi wa Kiislamu Zanzibar nchini Tanzania wameitaka serikali ifunge mabaa na vituo vya vileo wakisisitiza kuwa vinachangia katika mmomonyoko wa maadili katika visiwa hivyo.

  • SAUTI, Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia Hafla za maulidi ya Mtume (saw), malalamiko ya ongezeko la mahari ZNZ na sisitizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    SAUTI, Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia Hafla za maulidi ya Mtume (saw), malalamiko ya ongezeko la mahari ZNZ na sisitizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Nov 23, 2018 12:15

    Ripoti ya Matukio ya Kiislamu inaanzia visiwani Zanzibar ambapo walimu wa madrasa wametakiwa kuwa na mwongozo katika shughuli zao za ufundishaji ili kuifanya kazi yao hiyo kuwa na tija chanya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS