Viongozi wa Waislamu Zanzibar wataka kufungwa mabaa visiwani humo
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50054-viongozi_wa_waislamu_zanzibar_wataka_kufungwa_mabaa_visiwani_humo
Viongozi wa Kiislamu Zanzibar nchini Tanzania wameitaka serikali ifunge mabaa na vituo vya vileo wakisisitiza kuwa vinachangia katika mmomonyoko wa maadili katika visiwa hivyo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Dec 09, 2018 04:11 UTC

Viongozi wa Kiislamu Zanzibar nchini Tanzania wameitaka serikali ifunge mabaa na vituo vya vileo wakisisitiza kuwa vinachangia katika mmomonyoko wa maadili katika visiwa hivyo.

Na kama anavyoripoti mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit, watoto na vijana ndio wanaoonekana kuwa wahanga wakuu wa kushamiri biashara ya vileo na madanguro visiwani humo....