Vyama 6 vya siasa Tanzania vyajadili demokrasia katika mkutano wa Zanzibar+SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50257-vyama_6_vya_siasa_tanzania_vyajadili_demokrasia_katika_mkutano_wa_zanzibar_sauti
Viongozi na wanachama waandamizi wa Vyama sita vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekutana visiwani Zanzibar hii leo na kujadili juu ya dira ya taifa.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Dec 18, 2018 14:58 UTC

Viongozi na wanachama waandamizi wa Vyama sita vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekutana visiwani Zanzibar hii leo na kujadili juu ya dira ya taifa.

Na kama anavyoarifu mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit, mkutano huo umejikita zaidi kuhusu taswira ya hali ya demokrasia nchini Tanzania....