Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lafanyika Zanzibar+SAUTI
Dec 13, 2018 12:28 UTC
Zanzibar ni mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili. Kongamano hilo la siku mbili limefunguliwa rasmi na Rais Dkt Ali Mohammad Shein, ambaye amesisitiza haja ya kuenziwa magwiji na waandishi wa vitabu vya Kiswahili. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit ana maelezo zaidi......
Tags