-
Hali ya maafa yatangazwa Zimbabwe kufuatia ukame ulioikumba nchi hiyo
Feb 07, 2016 04:17Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametangaza hali ya maafa kufuatia ukame mkali ulioathiri maeneo mengi ya vijijini nchini humo.
-
Chinoka: Afya ya Rais Mugabe imedhoofu; hafai kuongoza nchi
Feb 06, 2016 11:29Wakili maarufu nchini Zimbabwe ameelezea wasi wasi wake juu ya hali ya afya ya Rais Robert Mugabe akisema kuwa, hafai kuendelea kuongoza nchi hiyo.
-
Mugabe atangaza baa la njaa kuwa janga la kitaifa
Feb 05, 2016 11:56Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametangaza baa la njaa linaloisumbua nchi yake kuwa janga la kitaifa.
-
AG, DPP wa Zimbabwe kizimbani kwa kutupa kesi ya hujuma dhidi ya kampuni ya Mugabe
Feb 03, 2016 04:34Mwanasheria Mkuu na Mkuu wa Mashtaka ya Umma wa Zimbabwe wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutupilia mbali kesi dhidi ya watuhumiwa wanaodaiwa kula njama ya kuishambulia kwa bomu kampuni ya maziwa inayomilikiwa na familia ya Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe.
-
Iran na Zimbabwe kushirikiana katika sekta ya afya
Feb 02, 2016 04:03Mawaziri wa afya wa Iran na Zimbabwe wamesisitiza kuhusu kutekelezwa mapatano yaliyotiwa saini.