8
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-8
Katika kipindi kilichopita tulizungumzia ongezeko la vitendo vya chuki na ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nchi za Magharibi hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani. Leo tutazungumzia juhudi za Waislamu wa mataifa hayo ya Magharibi katika kuuarifisha Uislamu.