-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu 1442 Hijria
Jul 19, 2021 13:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa siku hizi za Hija akisema kuwa kuendelea majonzi ya nyoyo za Waislamu wenye hamu kubwa ya kushiriki katika ugeni wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni mtihani wa muda na wa kupita.
-
Hija na Visa Vyenye Ibra
Aug 19, 2018 12:14Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Tuko kwenye msimu wa ibada tukufu ya Hija. Kwa mnasaba huo Radio Tehran imekuandalieni kipindi hiki maalumu cha Hija na Visa Vyenye Ibra. Kisa chetu cha kwanza kitahusu Hija ya Kudumu Daima Dawamu.
-
Siku ya Arafa, fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira
Sep 08, 2016 19:40Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kuzungumzia siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhulhija. Makala yetu tumeipa jina la Siku ya Arafa, fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira. Ni matumaini yangu mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi.
-
Ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba tukufu ya Allah (1437 Hijria) + SAUTI
Sep 05, 2016 10:25Kwa jina la Allah, Mwingi wa rehma Mwenye kurehemu Na hamdu zote ni za Allah Mola wa viumbe wote. Na rehma na amani zimshukie bwana wetu Muhammad na Aali zake watukufu na masahaba zake wema na wote waliowafuata wao kwa mema mpaka Siku ya Malipo
-
Maafa ya Mina (1)
Sep 05, 2016 11:57Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vitakavyochunguza kwa kina Maafa ya Mina yaliyotokea katika msimu wa ibada ya Hija mwaka jana; ambapo maelfu ya Mahujaji wa nyumba ya Mwenyezi Mungu wakiwemo Mahujaji 464 wa Iran wakipoteza maisha katika Hija wakati wa kutekeleza ibada ya kumpiga mawe shetani katika eneo la Mina.
-
Maafa ya Mina (5)
Sep 05, 2016 08:57Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum. Wazikilizaji wapenzi, tunaendelea na mfululizo wa vipindi vyetu hivi maalumu vya Hija ambapo tunazungumzia kumbukumbu ya tukio chungu la maafa ya eneo takatifu la Mina katika ibada ya Hija mwaka jana 1436 Hijria.