-
Afajiri Kumi, Mja Mwema
Feb 02, 2023 12:30Tunakaribia Afajiri Kumi za mwaka wa 44 wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Tumekutayarishieni vipindi kadhaa maalumu kwa mnasaba huu ambavyo tunatumai vitakunufaisheni nyote wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, karibuni.
-
Jumapili, Januari 31, 2021
Jan 31, 2021 02:53Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 31 Januari 2021 Miladia.