-
Haki za binadamu, kuanzia nara hadi matendo
Dec 12, 2018 11:07Jumatatu ya tarehe 10 Disemba wiki hii dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu. Hii leo suala la Haki za binadamu limekuwa miongoni mwa mijadala muhimu zaidi katika fikra za walimwengu na kwenye duru mbalimbali za kimataifa.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-11
Oct 31, 2017 13:14Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Kuwakirimu wazee ni wajibu wetu sote
Oct 07, 2017 12:01Tarehe Mosi Oktoba dunia iliadhimisha Siku ya Wazee Duniani.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 06, 2017 14:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.