-
Mgogoro wa Afya ya Akili na Kujiua katika Jamii ya Marekani (Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani)
Sep 28, 2023 11:36Jumapili ya tarehe 10 Septemba ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua. Siku hiyo ilisajiliwa katika kalenda ya dunia mwaka wa 2003 na Chama cha Kimataifa cha Kuzuia Kujitoa Uhai kwa ushirikiano wa Shirika la Afya Duniani (WHO).