-
Jumanne, Novemba 25, 2025
Nov 25, 2025 02:34Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na 25 Novemba 2025.
-
Jumatatu, Septemba 19, 2022
Sep 19, 2022 02:23Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Tano Safar 1444 Hijria sawa na tarehe 19 Septemba 2022 Milaadia.
-
Machi 20, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 20, 2019 18:38Tarehe 29 mwezi Esfand kwa kalenda ya Hijria Shamsia sawa na Machi 20 huadhimishwa kila mwaka kama siku kukumbuka kutaifishwa sekta ya mafuta ya petroli nchini Iran. Siku hii ni muhimu sana katika historia ya kisiasa na kiuchumi ya Iran. Utaifishwaji wa sekta ya mafuta Iran ulifanikiwa baada ya mapambano magumu sana na ukawa mwanzo wa fikra ya "Uchumi bila Mafuta'. Karibuni kusikiliza makala maalumu kwa munasaba huu.
-
Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 18, 2016 06:30Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu.