-
Jumatatu, 24 Novemba, 2025
Nov 23, 2025 23:30Leo ni Jumatatu 03 Jamadithani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 24 Novemba 2025.
-
Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran
Apr 09, 2019 07:43Tarehe 20 Farvardin Inasadifiana na "Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia" nchini Iran. Katika siku kama hii mwaka 1385 Hijria Shamsia sawa na Aprili 9 2006, wanasayansi na wasomi Wairani walifanikiwa kukamilisha mzunguko wa utegenezaji fueli ya nyuklia katika maabara.