-
Watu wa Asili, Tabaka Lililokandamizwa Zaidi katika Dunia ya Leo
Aug 09, 2017 18:38Tarehe 23 Disemba mwaka 1994 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe 9 Agosti kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili (Indigenous). Siku hiyo ilitangazwa rasmi ili kukumbuka na kutetea haki za zaidi ya watu milioni 370 wa asili katika nchi 90 duniani.
-
Iran yaunda mashine ya kusafisha maji ya chumvi inayotumia nguvu za jua
Mar 01, 2017 08:34Karibuni katika mjumuiko huu wa vipindi ambavyo huangazia maendeleo mapya katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba duniani na hasa nchini Iran na baadhi ya maeneo mengine duniani. Leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika kuunda mashine ya kusafisha maji ya chumvi inayotumia nishati ya jua. Karibuni
-
Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni
Sep 14, 2016 12:22Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki cha kila wiki ambapo leo tumekuandalieni makala hii kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni.