-
Ruwaza Njema (12)
Feb 06, 2019 14:22Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya 12 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Ruwaza Njema.
-
Adhama ya Maulidi (Kuzaliwa) ya Mtume Muhammad SAW
Nov 13, 2018 08:46Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Kama mnavyojua, tumo ndani ya Mfunguo Sita, mwezi ambao alizaliwa Bwana wetu Muhammad SAW. Leo katika dakika hizi chache, tutazungumzia adhama ya kuzaliwa mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa maelezo haya mafupi.