Feb 06, 2021 07:36
Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.