Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati yafanyika leo

    Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati yafanyika leo

    Feb 14, 2016 03:34

    Duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati inafanyika leo ambayo inaonekana kuwa ni hatua muhimu ya kurejesha utawala wa kidemokrasia na kumaliza miaka kadhaa ya vita vilivyoleta mpasuko na mgawanyiko nchini humo.

  • Rais wa Liberia yuko nchini Uganda kwa ajili ya uchaguzi

    Rais wa Liberia yuko nchini Uganda kwa ajili ya uchaguzi

    Feb 13, 2016 22:22

    Rais Ellien Johnson Sirleaf wa Liberia yuko nchini Uganda kufuatilia uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki unliopangwa kufanyika wiki ijayo Februari 18.

  • Uchaguzi wa rais Benin waahirishwa hadi mwezi ujao

    Uchaguzi wa rais Benin waahirishwa hadi mwezi ujao

    Feb 13, 2016 11:55

    Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais nchini Benin ambao ulitazamiwa kufanyika mwishoi mwa mwezi huu umeahirishwa hadi mwezi ujao.

  • Chama cha CUF nchini Tanzania chakubali kurudi kwenye mazungumzo lakini…

    Chama cha CUF nchini Tanzania chakubali kurudi kwenye mazungumzo lakini…

    Feb 12, 2016 23:53

    Chama cha Wananchi CUF cha nchini Tanzania kimekubali kurudi kwenye mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi wa amani mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar, kwa sharti kwamba, mchakato wa uchaguzi wa marudio usimamishwe.

  • Kaduma: Ni vyema Sheni angekubali kushindwa

    Kaduma: Ni vyema Sheni angekubali kushindwa

    Feb 10, 2016 11:54

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Ibrahim Kaduma ameungana na wanasiasa na shakhsia wengine mashuhuri nchini humo ambao wanapinga kurudiwa kwa uchaguzi wa Zanzibar kwa maelezo kuwa maridhiano baina ya pande zinazopingana yana nafasi nzuri ya kutatua mgogoro uliopo.

  • 161 kugombea viti vya Baraza la Wataalamu Iran

    161 kugombea viti vya Baraza la Wataalamu Iran

    Feb 10, 2016 11:52

    Idara Kuu ya Usimamizi wa uchaguzi wa Iran imesema wagombea 161 wameidhinishwa na Baraza la Walinzi wa Katiba kuwania viti katika uchaguzi wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.

  • Mwinyi kuongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi UG

    Mwinyi kuongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi UG

    Feb 09, 2016 11:35

    Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameteuliwa kuongoza timu ya waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi mkuu wa Uganda wa Februari 18.

  • Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na maafisa wa Jeshi la Anga

    Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na maafisa wa Jeshi la Anga

    Feb 09, 2016 04:08

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, siku ya Jumatatu alikutana na makamanda na maafisa wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Februari 11 Bahman na uchaguzi ujao wa Februari 26 ni Idi mbili zenye maana kwa taifa la Iran.

  • Idadi ya wagombea urais wa Kongo Brazzaville yaongezeka

    Idadi ya wagombea urais wa Kongo Brazzaville yaongezeka

    Feb 07, 2016 22:19

    Wapinzani wengine wawili wa serikali ya Jamhuri ya Kongo wametangaza kuwa watagombea katika uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika tarehe 20 ya mwezi ujao wa Machi.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS