Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

-a Kiongozi

  • Kiongozi Muadhamu: Mashahidi Walinzi wa Haram ni fahari kwa taifa zima

    Kiongozi Muadhamu: Mashahidi Walinzi wa Haram ni fahari kwa taifa zima

    Jan 05, 2017 12:40

    Familia za makomandoo saba wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu la Iran waliouawa shahidi kwa ajili ya kulinda Haram ya Bibi Zainab (SA) iliyoko nchini Syria leo zilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kujitolea mashahidi

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kujitolea mashahidi

    Dec 15, 2016 10:36

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mawimbi ya njama na mashambulizi ya uistikbari katika kadhia mbalimbali duniani kuwa yalikuwa ni kwa ajili ya Iran ya Kiislamu na kueleza kuwa, kutawala Qur'ani na dini nchini Iran na kueneza masuala hayo katika pembe nyingine za dunia, ni sababu iliyomfanya adui ahisi hatari na hivyo kufanya njama na kuendesha harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Kufanyike juhudi za kuitambulisha Swala kama inavyostahiki

    Kiongozi Muadhamu: Kufanyike juhudi za kuitambulisha Swala kama inavyostahiki

    Dec 08, 2016 10:05

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuna haja ya kufanyika hima na juhudi za kuifahamu na kuitambulisha Swala katika nafasi yake inayostahiki na amali za mtu binafsi ziendane nayo.

  • Kiongozi Muadhamu alionya Baraza la Congress la Marekani

    Kiongozi Muadhamu alionya Baraza la Congress la Marekani

    Nov 27, 2016 13:29

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelionya Baraza la Congress la Marekani akisisitiza kuwa, hatua yoyote ya kuvirudisha vikwazo ambavyo muda wake umeisha ni uwekaji wa vikwazo vipya na ni uvunjaji wa makubaliano.

  • Ujumbe wa Kiongozi  Muadhamu kufuatia kuuawa shahidi wafanyaziara Iraq na ajali ya treni Iran

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kufuatia kuuawa shahidi wafanyaziara Iraq na ajali ya treni Iran

    Nov 26, 2016 12:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa makundi yatendayo jinai ya kitakfiri, kwa mara nyingine yamedhihirisha kinyongo chao kiuoga na kwa njia ya kuogofya na hivyo kuonyesha uso wao khabithi na wa kishetani kwa watu wote.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS