-
Msimamo wenye utata wa Gulbuddin Hekmatyar kuhusu kuundwa serikali ya muda Afghanistan
Oct 26, 2020 22:57Mkuu wa chama cha Kiislamu cha Afghanistan katika msimamo wake uliozusha utata na mjadala amesema kuwa njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuunda serikali ya muda.
-
Zarif: Iran inaunga mkono mchakato wa amani Afghanistan
Oct 18, 2020 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa amani nchini Afghanistan ambao unaongozwa na Waafghani wenyewe.
-
Kuanza tena mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Afghanistan na Taliban nchini Qatar
Oct 14, 2020 12:44Wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na wa kundi la Taliban wameanza tena mazungumzo yao nchini Qatar ya kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini Afghanistan. Pande hizo mbili zinakutana mara hii kujadili tofauti zilizopo baina yao ili kuweza kufikia mwafaka.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 07:05Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Russia yabeza madai ya Trump kuhusu askari wa jeshi la kigaidi Marekani kuondoka Afghanistan
Oct 08, 2020 10:29Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema, madai ya rais wa Marekani kuhusu kuondoka askari magaidi wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan ni porojo tu la kampeni za uchaguzi.
-
Serikali ya Afghanistan: Taliban inatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo
Sep 27, 2020 10:11Mjumbe wa timu ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani ya Doha amelituhumu kundi la Taliban kuwa linatumia mbinu ya kupoteza muda katika mazungumzo hayo.
-
Ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Iran na Afghanistan
Sep 25, 2020 03:06Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afghanistan upo katika mkondo wa kupiga hatua na katika uwanja huo, na kwa mara ya kwanza kumefanyika maonyesho ya kitaalamu ya Iran kwa muda wa siku tatu katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul.
-
Jumamosi, 19 Septemba, 2020
Sep 19, 2020 00:17Leo ni Jumamosi tarehe Mosi Mfunguo Tano Safar 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 19 Septemba 2020 Miladia.
-
Abdullah Abdullah: Mazungumzo ya amani na Taliban ni magumu
Sep 18, 2020 23:58Mkuu wa Baraza la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, mazungumzo ya amani baina ya Waafghani wanayofanya wao na kundi la Taliban ni magumu.
-
Mazungumzo ya Wafghani yaendelea Doha, Taliban yakataa ombi la serikali la kusitisha vita
Sep 17, 2020 08:33Msemaji wa ofisi ya kisiasa ya kundi la Taliban nchini Qatar amelikataa ombi la serikali ya Afghanistan la kusitisha vita, wakati pande hizo mbili zinaendelea na mazungumzo ya amani katika mji mkuu wa Qatar, Doha.