-
Iran: Mgogoro wa Afghanistan hauwezi kutatuliwa kijeshi
Sep 14, 2020 03:28Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna ufumbuzi wa kijeshi katika mgogoro wa Afghanistan.
-
Kuanza mazungumzo ya amani baina ya Waafghani nchini Qatar; shaka na matumaini yaliyopo
Sep 13, 2020 09:40Baada ya miezi kadhaa ya vuta nikuvute, hatimaye mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Afghanistan na kundi la Taliban yalianza jana Jumamosi katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Mkutano wa mjini Doha baina ya mirengo ya Waafghani ni wa kwanza wa aina yake kufanyika nchini Qatar.
-
Vizuizi vinavyokwamisha kuanza mazungumzo ya amani ya Afghanistan
Sep 04, 2020 22:01Safari ya ujumbe unaoiwakilisha serikali ya Afghanistan katika mazungumzo ya amani na kundi la Taliban, ambao ulikuwa uondoke Kabul kuelekea mjini Doha, Qatar imeakhirishwa.
-
Mapigano na miripuko yaua watu 81 nchini Afghanistan
Aug 29, 2020 19:33Miripuko ya mabomu na mapigano nchini Afghanistan yamesababisha makumi ya watu kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Wafungwa waliosalia wa Taliban kuachiwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan kuanza wiki ijayo
Aug 28, 2020 07:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan imetangaza kuwa, karibuni hivi wafungwa waliosalia wa kundi la Taliban wataachiwa huru.
-
Kauli ya Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan kufuatia kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo
Aug 11, 2020 02:27Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa, askari wa jeshi la nchi hiyo wanao uwezo wa kuilinda nchi yao na kupambana na magaidi. Kauli hiyo ya Wizara ya Ulinzi wa Afghanistan imetolewa kufuatia uamuzi wa Marekani wa kuendelea kupunguza idadi ya wanajeshi wake walioko nchini humo.
-
Abdullah Abdullah: Duru ya kwanza ya mazungumzo ya amani baina ya Waafghani itafanyika Qatar
Aug 08, 2020 22:47Mkuu wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amesema, duru ya kwanza ya mazungumzo ya kutafuta suluhu na kurejesha amani kati ya serikali ya nchi hyo na kundi la Taliban itafanyika nchini Qatar.
-
Trump: Kuingilia masuala ya magharibi mwa Asia ni kosa kubwa la kihistoria
Aug 04, 2020 06:51Rais wa Marekani amekiri kuwa kitendo cha kuingilia masuala ya eneo la magharibi mwa Asia lilikuwa kosa kubwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Makumi ya wafungwa wauawa katika shambulizi la Daesh huko Afghanistan, madazani wajeruhiwa
Aug 03, 2020 06:28Zaidi ya watu 21 wameuawa katika shambulizi lililofanywa usiku wa kuamkia leo na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh katika jela moja iliyoko katika mji wa Jalalabad nchini Afghanistan.
-
Indhari ya Pompeo kwa Russia na madai ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Afghanistan ifikapo Mei 2021
Aug 01, 2020 21:53Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha rasmi mchakato wa kuondoka wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan kabla ya wakati ulioainishwa awali, kwa kuzingatia ahadi alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi na mapatano iliyofikia Marekani na kundi la Taliban mwezi Februari mwaka huu. Hivi sasa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani anazungumzia kuainishwa wakati wa kukamilisha mchakato huo wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan na wakati huo huo anatoa vitisho kwa Russia.