Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Askari wa Afghanistan wawekwa katika hali ya tahadhari baada ya kombora la Pakistan kuua raia 15

    Askari wa Afghanistan wawekwa katika hali ya tahadhari baada ya kombora la Pakistan kuua raia 15

    Jul 31, 2020 10:59

    Askari wa Afghanistan walioko kwenye mstari wa kubuni wa mpakani wa Durand wamewekwa katika hali ya tahadhari baada ya shambulio la kombora lililofyatuliwa na wanajeshi wa Pakistan kuua na kujeruhi makumi ya raia katika mkoa wa Kandahar kusini mwa nchi hiyo.

  • Serikali ya Afghanistan: Taliban katu haitashinda vita wala haitaidhibiti nchi

    Serikali ya Afghanistan: Taliban katu haitashinda vita wala haitaidhibiti nchi

    Jul 30, 2020 21:56

    Makamu wa Pili wa Rais wa Afghanistan amesisitiza kuwa, kundi la Taliban katu halitashinda katika vita vya nchi hiyo.

  • Taliban lakubali kwa masharti kuanza mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani Afghanistan

    Taliban lakubali kwa masharti kuanza mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani Afghanistan

    Jul 24, 2020 03:06

    Kundi la Taliban limetangaza kuwa, liko tayari kwa masharti kuanza mazungumzo ya kutafuta suluhu na amani baina ya Waafghani.

  • Makamanda na wanamgambo 45 wa Taliban wauawa katika shambulio la anga la jeshi la Afghanistan

    Makamanda na wanamgambo 45 wa Taliban wauawa katika shambulio la anga la jeshi la Afghanistan

    Jul 22, 2020 23:47

    Wanachama wasiopungua 45 wa kundi la Taliban wakiwemo makamanda na wanamgambo wa kundi hilo wameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Afghanistan katika wilaya ya Adraskan jimboni Herat magharibi mwa nchi hiyo.

  • Araqchi akanusha madai ya kuwepo ofisi ya Taliban nchini Iran

    Araqchi akanusha madai ya kuwepo ofisi ya Taliban nchini Iran

    Jul 19, 2020 10:06

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amekabidhisha vikali madai ya kipropaganda kuwa kundi la wapiganaji wa Taliban la Afghanistan lina ofisi hapa nchini. Sayyid Abbas Araqchi aidha amekanusha vikali uvumi wa uwepo wa kundi la Taliban hapa nchini Iran, kwa jina la "Baraza la Mashhad."

  • Safari ya Abbas Araqchi mjini Kabul; ushirikiano mzuri wa Iran na Afghanistan

    Safari ya Abbas Araqchi mjini Kabul; ushirikiano mzuri wa Iran na Afghanistan

    Jul 16, 2020 07:49

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu anayehusika na masuala ya kisiasa amekutana na kufanya mazungumzo mjini Kabul na Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afganistan na kujadili masuala ya kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyanja zote

  • Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Jul 07, 2020 23:49

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.

  • Marekani yasisitiza, itaendelea kuikalia kwa mabavu ardhi ya Afghanistan

    Marekani yasisitiza, itaendelea kuikalia kwa mabavu ardhi ya Afghanistan

    Jul 06, 2020 01:40

    Balozi mdogo wa Marekani mjini Kabul amesema kuwa majeshi ya nchi yake yataendelea kuwepo katika ardhi ya Afganistan.

  • Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Jul 02, 2020 20:09

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa kutumia kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 yaliyolenga sehemu kadhaa ndani ya ardhi ya Marekani. Wakati rais wa Marekani Donald Trump alipokuwa katika kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 na hata baada ya kuingia ikulu ya White House aliahidi kuwa atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Afghanistan. Hata hivyo pamoja na ahadi hiyo, askari wengi wa jeshi la Marekani wangaliko katika ardhi ya Afghanistan.

  • Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Jun 29, 2020 21:59

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, amesema kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Time kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan ni ya uongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS