Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Jun 27, 2020 22:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan.

  • Kuongezeka uzalishaji wa mihadarati ya mpopi Afghanistan chini ya kivuli cha kuwepo kijeshi Marekani

    Kuongezeka uzalishaji wa mihadarati ya mpopi Afghanistan chini ya kivuli cha kuwepo kijeshi Marekani

    Jun 26, 2020 20:29

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na uhalifu na mihadarati imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kuwa, tani 6,400 za madawa ya kulevya yanayotokana na mpopi zilizalishwa nchini Afghanistan katika mwaka uliopita wa 2019.

  • Rais wa Afghanistan: Serikali haina wasiwasi wowote juu ya kuondoka askari wa Marekani

    Rais wa Afghanistan: Serikali haina wasiwasi wowote juu ya kuondoka askari wa Marekani

    Jun 25, 2020 22:00

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema, serikali ya nchi hiyo haina wasiwasi wowote juu ya suala la kuondoka askari wa Marekani nchini humo.

  • Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Jun 12, 2020 03:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kusema, hivi sasa ICC inahujumiwa na genge la wahalifu wambao wanajiarifisha kuwa ni wanadiplomasia."

  • Seneta wa Marekani akiri kwamba Washington ilifanya uvamizi wa wazi nchini Afghanistan

    Seneta wa Marekani akiri kwamba Washington ilifanya uvamizi wa wazi nchini Afghanistan

    Jun 05, 2020 22:26

    Seneta wa chama cha Republican na mkuu wa Kamati ya Sheria katika Bunge la Seneti nchini Marekani amesema kuwa uwepo wa askari wa nchi hiyo huko Afghanistan ni uvamizi wa wazi na ulio kinyume cha sheria.

  • Sisitizo la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi nchini Afghanistan

    Sisitizo la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi nchini Afghanistan

    Jun 01, 2020 12:49

    Mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) amesisitizia kuendelea kuwepo askari wa nchi yake nchini Afghanistan.

  • Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu

    Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu

    May 29, 2020 04:53

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.

  • Afghanistan yazitaka nchi za Kiislamu kulaani jinai za Wazayuni

    Afghanistan yazitaka nchi za Kiislamu kulaani jinai za Wazayuni

    May 22, 2020 06:38

    Baraza la 'Ikhwatul-Muslimin' katika jimbo la Balkh nchini Afghanistan limewataka viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu kuhitimisha kimya chao dhidi ya jinai zinazotendwa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya taifa madhlumu la Palestina.

  • Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    May 20, 2020 02:22

    Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.

  • Watu 47 wafariki dunia katika mapigano mapya nchini Afghanistan

    Watu 47 wafariki dunia katika mapigano mapya nchini Afghanistan

    May 19, 2020 20:20

    Watu 47 wamefariki dunia katika mapigano mapya kati ya jeshi la serikali ya Afghanistan na wanachama wa kundi la Taleban katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS