-
Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan
May 15, 2020 02:54Msemaji wa kundi la Taliban ametishia kuwa, kundi hilo litaendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya askari na taasisi za serikali ya Afghanistan.
-
Sisitizo la Amnesty International juu ya ukidhabu wa Marekani katika mauaji ya raia
May 12, 2020 01:38Baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilianzisha vita katika maeneo tofauti duniani kwa madai ya kupambana na ugaidi na hasa katika nchi mbili za Waislamu, za Afghanistan na Iraq ambazo hatimaye ilizikalia kwa mabavu.
-
Iran yasema madai ya Marekani dhidi yake ni 'mzaha mchungu'
May 06, 2020 03:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria juu ya uhusiano madhubuti baina ya taifa hili na Afghanistan, imekosoa vikali madai ya Marekani dhidi ya Tehran kuhusu tukio la kupoteza maisha raia wa Kiafghani katika eneo la Herat, mpakani mwa nchi mbili hizi.
-
Kuwa tayari timu ya Uthabiti na Utangamano kwa ajili ya mazungumzo na Ashraf Ghani
May 05, 2020 23:35Timu ya uchaguzi ya “Uthabiti na Utangamano” inayoongozwa na Abdulllah Abdullah imetangaza kuwa, iko tayari kufanya mazungumzo na Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan kwa shabaha ya kuzuia kupunguzwa misaada ya kimataifa na kuendesha vita dhidi ya ugaidi.
-
Jumanne, tarehe 28 Aprili, 2020
Apr 27, 2020 21:46Leo ni Jumanne tarehe 4 Ramadhani 1441 Hijria sawa na Aprili 28 mwaka 2020.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Qatar wajadili matukio ya Afghanistan
Apr 25, 2020 21:46Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamejadili katika mazungumzo yao kwa njia ya simu matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan.
-
Sisitizo la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan la kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita nchini Afghanistan
Apr 23, 2020 21:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesisitizia azma na irada ya nchi yake kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita na mapigano nchini Afghanistan.
-
Zarif azungumza na mawaziri wa mambo ya nje wa Qatar na Uturuki kuhusu Afghanistan, corona
Apr 13, 2020 22:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Qatar kuhusu matukio ya hivi karibuni kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Afghanistan.
-
Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani
Apr 13, 2020 21:58Kundi la wanamgambo wa Taliban limeonya kuwa, kutoheshimu Marekani hati ya makubaliano ya amani ya Doha Qatar kutakuwa sababu ya kuendelea vita nchini Afghanistan na kwamba, Washington ndio itakayobeba dhima ya hilo.
-
Sisitizo la Abdullah Abdullah la kuunda serikali pana huko Afghanistan
Apr 11, 2020 23:51Abdullah Abdullah ambaye anajitambua kuwa ndiye Rais wa Afghanistan amesema kuwa atatangaza baraza la mawaziri iwapo mpango wa kuunda serikali ya mirengo yote nchini humo hautakubaliwa.