-
Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo
Mar 28, 2020 21:48Bunge la Afghanistan limetangaza kuwa matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuhusu kupunguzwa kiasi cha dola bilioni moja za misaada ya nchi hiyo kwa Kabul ni kinyume na mapatano ya kistratejia ya pande mbili.
-
Umoja wa Mataifa wasema Afghanistan ndiyo nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani
Mar 17, 2020 23:39Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Watoto, ameitaja Afghanistan kuwa nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani.
-
Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan
Mar 17, 2020 09:14Baraza la Usalama wa Taifa nchini Afghanistan limetangaza kuwa, kundi la wanamgambo wa Taliban halina irada na azma ya kweli kwa ajili ya kupatikana amani na kudhaminiwa usalama katika nchi hiyo.
-
Kushtadi vita vya kugombania madaraka kati ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani nchini Afghanistan
Mar 13, 2020 22:59Kufuatia kufutwa cheo cha Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah ambaye anajitambua kuwa rais wa nchi hiyo, amesema kwamba urais wa Ashraf Ghani hauna itibari yoyote.
-
Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan
Mar 12, 2020 01:13Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afganistan ametoa amri ya kuachiliwa huru kutoka gerezani wafungwa ambao ni wanachama wa kundi la wanamgambo wa Taliban.
-
Baada ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani kila mmoja kuapishwa kuwa rais, mzozo mkubwa wa kisiasa waibuka Afghanistan
Mar 11, 2020 13:23Mzozo mkubwa wa kisiasa wa kugombania madaraka nchini Afghanistan umezidi kushika kasi, baada ya washindani wakubwa wawili ambao ni Ashraf Ghani na Abdullah Abdullah kumfuta kazi mwingine.
-
Ukosoaji wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu kutowekwa wazi makubaliano ya Marekani na Taleban
Mar 08, 2020 07:03Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa makubaliano ya hivi karibuni kati ya Marekani na kundi la Taleban hayajulikani vyema.
-
ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Mar 06, 2020 08:03Oktoba mwaka 2001, kwa kisingizio cha hujuma za Sepemba 11 mwaka huo, Marekani ilianzisha uvamizi dhidi ya Afghanistan. Tokea wakati huo hadi sasa Marekani imeendelea kuikalia kwa mabavu Afghanistan na askari wake wametekeleza jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuua raia wasio na hatia.
-
Licha ya kutia saini makubaliano ya amani, Taliban yaua zaidi ya askari 20 wa serikali Afghanistan
Mar 04, 2020 04:46Licha ya Marekani na kundi la Taliban kutiliana saini makubaliano ya kukomesha mapigano huko Afghanistan, msemaji wa jeshi la nchi hiyo kaskazini mwa Afghanistan amesema kuwa, zaidi ya wanajeshi 20 na polisi wa serikali wameuawa katika shambulio la kundi la Taliban kwenye wilaya ya Qunduz.
-
Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu kusainiwa mapatano baina ya Marekani na Taliban
Mar 02, 2020 22:53Iran inaunga mkono tukio lolote ambao litasaidia kuleta amani na uthabiti nchini Afghanistan na inaunga mkono jitihada zitakazoongozwa na Afghanistan ili kufikia lengo hilo.