-
Timu ya Uthabiti na Utangamano yaandaa hafla ya kumuapisha Abdullah Abdullah, Afghanistan
Mar 02, 2020 09:28Mjumbe wa ngazi ya juu wa kundi linalojulikana kwa jina la 'Uthabiti na Utengamano' ametangaza kwamba, kundi hilo linajiandaa kwa ajili ya hafla ya kumuapisha Abdullah Abdullah kama rais mpya wa Afghanistan.
-
Muhula wa kupunguzwa mapigano Afghanistan wamalizika kwa kuuawa, kujeruhiwa watu 80
Feb 29, 2020 23:07Takwimu rasmi zilizotangazwa na serikali ya Afghanistan zinasema kuwa muhula wa siku saba wa kupunguzwa mapigano nchini humo, umemalizika kwa kuuliwa na kujeruhiwa watu 80.
-
Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani
Feb 29, 2020 13:45Duru za habari nchini Afghanistan zimearifu kwamba serikali ya Kabul na kundi la Taleban zimekubaliana kuanza mazungumzo ya amani baina yao.
-
Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan
Feb 24, 2020 21:52Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.
-
Kutekelezwa makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan
Feb 23, 2020 06:59Makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan yalianza kutekelezwa Ijumaa iliyopita.
-
Malalamiko na ukosoaji kwa ongezeko la mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya raia Afghanistan
Feb 16, 2020 23:13Ongezeko la hasara linalotokana na mashambulizi ya anga ya askari wa Marekani dhidi ya raia wa Afghanistan, limekabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa wa shakhsia, wananchi na wabunge wa nchi hiyo.
-
Jumamosi, 15 Februari, 2020
Feb 15, 2020 00:42Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Tisa Jamadi Thani 1441 Hijria mwafaka na tarehe 15 Februari 2020 Miladia.
-
Mauaji ya raia yanayofanywa na Marekani ni dhihirisho la jinai za kivita
Feb 11, 2020 03:50Kamisheni ya Haki za Binaadamu nchini Afghanistan imeyataja mauaji ya raia yanayofanywa katika mashambulizi ya anga ya Marekani ndani ya nchi hiyo kuwa ni dhihirisho la jinai za kivita.
-
Watoto 17 wauawa katika hujuma ya ndege za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Feb 09, 2020 08:33Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Afghanistan limetangaza kuwa watoto 17 waliuawa nchini Afghanistan mwezi Januari mwaka 2020 katika hujuma za ndege za kivita za Marekani.
-
Rekodi mpya ya mashambulizi ya Marekani nchini Afghanistan 2019 yatolewa
Jan 29, 2020 23:09Ripoti mpya zinaelezea rekodi mpya ya mashambulizi ya Marekani nchini Afghanistan.