Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani akataa kutoa maelezo kuhusu ndege iliyotunguliwa Afghanistan

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani akataa kutoa maelezo kuhusu ndege iliyotunguliwa Afghanistan

    Jan 28, 2020 02:06

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekataa kutoa maelezo kuhusiana na ndege ya nchi hiyo iliyotunguliwa nchini Afghanistan.

  • Msimamo wa Imran Khan kuhusu njia mjarabu ya kufikiwa usalama nchini Afghanistan

    Msimamo wa Imran Khan kuhusu njia mjarabu ya kufikiwa usalama nchini Afghanistan

    Jan 27, 2020 04:37

    Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kusisitiza kutokuwepo njia ya utatuzi wa kijeshi kwa mzozo wa Afghanistan, amesema kuwa amani ya nchi hiyo itafikiwa pale tu kundi la Taleban litakapofanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.

  • Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani

    Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani

    Jan 19, 2020 23:48

    Msemaji wa ikulu ya Afghanistan ametangaza habari ya kutofikiwa mapatano katika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani nchini Qatar.

  • 2019; mwaka wa vifo vingi vya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Afghanistan

    2019; mwaka wa vifo vingi vya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Afghanistan

    Dec 25, 2019 21:41

    Mwaka 2019 umetajwa kuwa mwaka wa mauti zaidi kwa wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Afghanistan tangu kumalizika rasmi oparesheni za kivita nchini humo.

  • Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan

    Dec 18, 2019 23:02

    Maafisa wa ngazi za juu wa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wameonya kuhusu njama za makusudi za kuwahamishia wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Afghanistan.

  • Uwepo wa askari wa Kimarekani Afghanistan, chanzo cha ukosefu wa ajira

    Uwepo wa askari wa Kimarekani Afghanistan, chanzo cha ukosefu wa ajira

    Dec 04, 2019 21:51

    Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Afghanistan umeonyesha kwamba, uwepo wa askari vamizi wa Kimarekani ndio sababu ya kuongezeka kiwango cha ukosefu wa ajira kwa raia wa nchi hiyo.

  • Bunge la Afghanistan lamtaka Rais Ashraf Ghani awaombe radhi wananchi kwa kukutana na Trump

    Bunge la Afghanistan lamtaka Rais Ashraf Ghani awaombe radhi wananchi kwa kukutana na Trump

    Dec 01, 2019 23:06

    Bunge la Afghanistan sambamba na kumkosoa vikali Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani katika kambi ya kijeshi ya Bagram, limemtaka rais huyo awaombe radhi watu wa nchi hiyo.

  • Bunge la Afghanistan lamtaka Rais Ashraf Ghani awaombe radhi wananchi kwa kukutana na Trump

    Bunge la Afghanistan lamtaka Rais Ashraf Ghani awaombe radhi wananchi kwa kukutana na Trump

    Nov 30, 2019 23:34

    Bunge la Afghanistan limekosoa mkutano uliofanywa na rais wa nchi hiyo Ashraf Ghani na mwenzake wa Marekani Donald Trump katika kituo cha anga cha Bagram na kumtaka Ashraf Ghani awaombe radhi wananchi wa Afghanistan kwa kitendo hicho.

  • Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan

    Nov 30, 2019 01:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.

  • Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan

    Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan

    Nov 29, 2019 07:44

    Katika safari yake ya ghafla nchini Afghanistan, Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS