-
Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi
Nov 11, 2019 23:26Licha ya Rais Donald Trump kukariri mara chungu nzima kwamba, Washington itaondoa wanajeshi wake katika eneo la Asia Magharibi hususan katika nchi za Syria na Afghnaistan, lakini hali ya mambo ilivyo inaonyesha kuwa, Marekani imeazimia kubakisha na hata kuongeza idadi ya wanajeshi wake pamoja na zana za kijeshi katika eneo hili ikiwa ni katika kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kibabe.
-
Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo
Nov 10, 2019 03:50Russia imeonya mara kadhaa kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Afghanistan na kuongeza kuwa magaidi hao wakufurishaji wanaungwa mkono na Marekani.
-
HRW: Askari wa Afghanistan waliopewa mafunzo na CIA wanafanya jinai za kivita
Oct 31, 2019 08:01Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa, kikosi cha askari wa Afghanistan kilichopewa mafunzo na kufadhiliwa na shirika la ujasusi la Marekani CIA kimefanya uhalifu wa kivita kutokana na mbinu zao za kuvamia makazi ya raia nyakati za usiku, kupoteza watu, kushambulia vituo vya afya na kuua raia.
-
Serikali ya Kabul: NATO haina nia ya kupunguza idadi ya askari wake walioko Afghanistan
Oct 26, 2019 04:49Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Afghanistan amesema, shirika la kijeshi la NATO halina nia ya kupunguza idadi ya askari wake walioko nchini humo.
-
Safari ya ghafla ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Afghanistan
Oct 21, 2019 23:47Akiwa katika kampeni zake za uchaguzi wa mwaka 2016, Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi kuwa angewatoa askari wa nchi hiyo huko Afghanistan, lakini mwenendo huo umekumbwa na vizingiti vingi ambapo hadi sasa hajaweza kutekeleza ahadi hiyo.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi msikitini Afghanistan
Oct 19, 2019 08:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lilioua makumi ya watu ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar
Oct 19, 2019 02:10Msemaji wa Idara ya Siasa ya kundi la Talibal la Afghanistan amesema kuwa Marekani inakwamisha utekelezwaji wa makubaliano ya Qatar.
-
Miripuko ya mabomu yaua waumini wasiopungua 62 ndani ya msikiti nchini Afghanistan
Oct 18, 2019 12:48Watu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika miripuko kadhaa ya mabomu iliyotokea leo ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
Marekani na pigo la kihistoria katika vita visivyo na natija nchini Afghanistan
Oct 08, 2019 08:30Baada ya kupita miaka 18 ya kuweko majeshi ya Marekani huko nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na mtandao wa al-Qaeda na wanamgambo wa Taliban, vitendo vya utumiaji mabavu na kufurutu ada vingali vinahesabiwa kuwa tishio kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan
Oct 06, 2019 04:31Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Afghanistan ametahadharisha kuhusu kujiunga viongozi wa kundi la Taliban na kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.