-
Jumapili, tarehe 29 Septemba, 2019
Sep 28, 2019 22:58Leo ni Jumapili tarehe 29 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria, mwafaka na tarehe 29 Septemba 2019 Miladia.
-
Shambulizi la 'drone' ya Marekani laua wakulima 30 Afghanistan
Sep 19, 2019 21:56Ndege isiyo rubani ya Marekani imetekeleza shambulizi la anga na kuua makumi ya wakulima nchini Afghanistan.
-
Rais wa Afghanistan anusurika katika shambulizi la bomu la Taliban
Sep 17, 2019 22:11Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameponea chupuchupu katika shambulizi la bomu lililojiri karibu na mkutano wake wa kisiasa katika mji wa Charikar, makao makuu ya mkoa wa Parwan kaskazini mwa Kabul.
-
Zarif amwambia Trump, kaulimbiu ya Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi askari wa mwisho wa Marekani
Sep 10, 2019 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemtumia ujumbe wa Twitter Rais Donald Trump wa Marekani akisema: Kaulimbiu ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi atakapobakia askari wa mwisho kabisa wa Marekani.
-
Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban
Sep 09, 2019 01:33Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.
-
Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan
Aug 31, 2019 02:08Miaka 18 iliyopita Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan na kisha ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo kwa kisingizio cha kulipiza kisasi cha mashambulio ya Septemba 11, mwaka 2001 na pia kupambana na ugaidi nchini humo. Wakati rais wa sasa wa Marekani Donald Trump alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2016 na baada ya kuingia Ikulu ya White House aliahidi kwamba atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Syria na Afghanistan, hata hivyo hadi sasa amehalifu ahadi yake hiyo.
-
Taliban: Vita vya Afghanistan vilianza kwa uvamizi wa Marekani na vitamalizika kwa kuondoka tu nchini humo
Aug 26, 2019 22:11Kundi la Taliban limesema, vita vya Afghanistan vitamalizika pale tu majeshi ya kigeni yakiongozwa na Marekani yatakapoondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija
Aug 19, 2019 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mwenendo wa mazungumzo ya Iran na madola ya Ulaya kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, mazungumzo kuhusiana na uwajibikaji wa Ulaya katika JCPOA hadi sasa hayajawa na natija.
-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani chanzo cha ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan
Jul 30, 2019 03:15Hossein Amir-Abdollahian, Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa mbovu za Marekani ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan.
-
Iran yapinga matamshi ya kifidhuli na kibaguzi ya Trump kuhusu taifa la Afghanistan
Jul 24, 2019 02:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran amelaani matamshi ya kibaguzi na kifudhuli yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Afghanistan.